Jamani washika dau ni matumaini yangu kwamba nyote humu ndani mko sawa, Namba msaada jamani namna ya kupata sinema yenye jina : woman of steel ya America kusini , natanguliza shukurani kwa atakaye...
Mbosso ametukosha sana jana Jamaa amekwiva aswaaa kwenye Live performance hakuna zaidi yake hapa Bongo atakaye mfikia kwenye live Performance,
Nimeenjoy sana jana laki moja yangu haijaenda bure...
Nyota wa Tanzania Zuchu amedondosha wimbo mpya, "Kitu", uliojaa maneno ya ngono, kama vile Sukari.
Diamond, Harmonize na wengine pia wanasifika kwa maneno ya ngono au nyimbo za kusifu pombe...
Mary Christmas kwenu wapendwa leo tunasherekea siku ya kuzaliwa kwa yesu kristo alitukomboa katika kifo.
Moja ya movie na series kali za mwaka huu
Cast Falls: Ndani kuna mkongwe dolph na mtalaam...
American Top 40 Top 40 Of 2021 (December 25, 2021)
============================================
Rank Artist-Title Peak (-active) Weeks at #1 (bold-italics) Weeks On (-active)
40 BTS - Dynamite 6...
Aje wadau,
Tuchangamshane kwa kutambua lyrics za nyimbo mbali mbali, andika lyrics wadau wajaribu kuzitambua ni za wimbo gani kwa kutaja jina la wimbo, tukifeli unatusaidia kushare wimbo husika...
Frank M Lwakatare's Top 10 Best Songs 🎵 2021.
1. No Time To Sleep – Song 🎵 by Bobby Shmurda (2021)
Ø Rap. This was Bobby’s first track just 6 months after coming out from jail. I really felt...
Wakuu habari ya maandalizi ya sikukuu ya christmass..Kama wewe ni mdau wa movie za kivita. Naomba walau weka list ya series zako tano za kivita hapa kali.
Msaada. Tupia list hapo chini...
Chief Judge Madam Rita alipokuwa akizungumza na washiriki wa shindano la Bongo Star Search (BSS) alisikika akitaja zawadi kwa washindi ambapo mshindi wa kwanza atakabidhiwa Tanzania shilingi...
Kwa wale wa kishua tuwaite kipindi hicho ITV walikuwa wanaicheki hii series journey to the west ..
Ilikuwa maarufu hii ilikuwa ni story ya kichina inayomuhusu master mmoja jina lake aliitwa...
Habari zenu wanna Jf
Mi huwa nazisikiliza hizi
Cry no more by Chriss brown
Niache ya Diamond platnum
Surrender ya Natalie Taylor
Siwezi ya Baraka the prince
Aljandro by Lady Gaga
Karibu share...
Anaitwa kili -Paul
Kili-Paul ni kijana mwenye asili ya kimasai Kutoka mkoani Pwani - lugoba nchini Tanzania. Amezaliwa lugoba mkoani pwani ambapo alianza elimu yake ya msingi mpaka kufikia darasa...
JINA: Tabia.
MWANDISHI: Chiamaro Mokiri.
Umri wake ulikuwa ni miaka 19. Alikuwa hazidi hapo. Labda kama ni chini ya hapo. Na kama ingelikuwa ni kampuni ya bima, basi wangempatia miaka mingine 60...
Imagine kuna sehem mtu anatamka wazi akitumia kinga inapunguza utam. Yani ni kama vile anahalalisha watu kutojikinga na ni hatari kabisa taifa la vijana likiishi kwa mitazamo hii.
Kwanza wimbo...
Appreciation thread kwa JIDE JAY DEE[emoji7]
Ni msanii pekee ambaye amemudumu beef na redio pia vituo vya television bila uwepo wa mitandao (Instagram, Facebook, wala Twitter au Tiktok) na bila...
Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E FM/E-TV.
Jamaa hajafanya sana program za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.