Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu wale wapenzi wa nyimbo za kale naomba kama kuna mtu anaweza kuwa na nyimbo ya Mzee Makasi -Anifa tafadhali anisaidie nyimbo ina nikumbusha mbali Sana laakini namna ya kupata nimeshindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeamini ushabiki ni kitu kibaya sana haina utofauti na urahibu wa madawa na pombe. I'm so soooooooo happy today yaani naumaliza mwaka vizuri Mungu akipenda shukrani za pekee kwake Daisy Skye...
9 Reactions
94 Replies
6K Views
Wadau mwenye kuufahamu wimbo ambao beat lake hutumika kwenye kipindi cha Njia panda Clouds fm msaada wa jina lake tafadhali.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari waungwana, Nimekuwa mfuatiliaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi tangu sehemu ya kwanza mpaka sehemu ya mwisho iliyorushwa juzi.. Kwa kweli nikiri tu hakuna tamthilia iliyowahi kutengenezwa...
12 Reactions
57 Replies
10K Views
Kufuatia uteuzi uliofanywa na Ikulu ya Zanzibar kwa Charles Hillary kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Charles Hillary bado yupo kwa mwajiri wake Azam Media na muda huu anaendesha...
0 Reactions
9 Replies
880 Views
mayowela rudi
1 Reactions
1 Replies
542 Views
Enzi zetu bana hasa sisi watu wa huku Mbeya kulikuwa hamna kabisa majumba ya sinema, badala yake movies zote tulikuwa tukizitazama video shows. Mfano Mbeya Mjini Video show maarufu zilikuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
UKWENI PAMOTO JAMANI; POLE MCHUMBA WANGU. Na, Robert Heriel Chereko chereko ziliendelea pale nyumbani. Vigele gele na vifijo vilirindima. Mtaa mzima ulijua kuwa Siku ile Mchumba wa Taikon anakuja...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipe 3 bora zako.... 1. OCG- Kazeze 2. Mangwea- a,k,a Mimi 3. Prof Jay - Msinitenge 4. Solothang – Sukari ina PiliPili 5. Mwana Fa – alikufa kwa ngoma 6. Solid Ground Family – Mechi Kali 7...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni! Commando - Arnold Schwarzenegger Double impact - Van Damme Drunken master - Jackie Chain Hadi...
5 Reactions
252 Replies
80K Views
Heshima yenu wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada wapenda movie nawaomba hapa; nilikuwa ndani ya gari naenda mkoani ndo nikakutana na hii movie ya JOHNNY MAD DOG Sijawahi kuiona ndo ilikuwa...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
TAMTHILIYA: CHALLENGE MADE. SEHEMU: 1 MUANDISHI: WINIFRIDA THOBIAS. Usiku wa saa tano katika hospitali moja iliyopo nnje kidogo ya jiji la dar es salaam alionekana mwanamke mmoja aliyekuwa...
3 Reactions
110 Replies
9K Views
Mwandishi: Nyemo Chilongani. Sehemu 01 ANGALIZO: Kazi ya Fasihi ni kufundisha, kuburudisha na mengine. Hiki kichombezo hakitokufundisha chochote, kitakuburudisha tu. Kama hupendi vitu vya ngono...
2 Reactions
39 Replies
53K Views
Wakuu kwema. Naomba kujua ngoma kali Za Rapa Meek Mill....Zile kali haswaaa mwenye kuzifahamu naomba azishushe hapa. Kwa kuzitaja tu itatosha then ntazitafuta...Asanteni. #Forgive Me
0 Reactions
12 Replies
841 Views
Shawn Mendes ft Camila Cabello- Senorita
2 Reactions
7 Replies
2K Views
(verse 1) Tanga kwa kweli ni kijimji kidogo, na pia kuna mambo ya uswahili si kidogo. lakini habari zake kwa kweli ni kubwa, na mji ule ukiuvamia kwa papara palee, mengi yatakukumba! Ukifika Tanga...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Nahitaji kudownload movies kwaajili ya kuenjoy week hii, Sasa ninaomba kila mmoja anitajie movie yake pendwa ambayo imemkosha 2020-2021 ili kutokana na majina ya movies hizo na Mimi nipate...
2 Reactions
77 Replies
12K Views
TUJIKUMBUSHENI IJAPO TUNA MACHUNGU
1 Reactions
1 Replies
947 Views
Back
Top Bottom