Akili ya kawaida tu,mngetaja mshindi wa tatu halafu wa Kwanza.
Ama mngetaja mshindi wa pili kisha wa kwanza halafu wa tatu anajulikana tu kwa vile wapo watatu stejini.
Yote kwa yote nampongeza...
Humu utakutana na mzee mzima herry cavill ( geralt of ravia ) jamaa ni witcher kazi yao kubwa ni kupambana na mashetani na majitu ya ajabu ili kuwalinda binadamu lakini wao wenyewe ni mutant (...
1 ghau from ivory cost
2 vieux zengue and jack from ovory cost
3 mark angel from nigeria
4 joti from Tanzania
5 Samuel asubiojo from nigeria
6 mister big big from Tanzania
7 sidne from...
Hakika TAMTHILIA za BONGO ni PASUA KICHWA
Kuna hii Tamthilia ya HUBA Imejaa UONGO wa usio na Tija kwa Watazamaji kabisa
Kila Siku Wanaanzisha kitu Kipya hakina mwendelezo na Tamthilia KAMA...
Mkali na legendary Paul mi namkubali sana, wasanii wengi wa zamani walisikika kisa yeye,
Katika ngoma hizi ni ipi ambayo hakuinyonga vema maana tunajua beat zilizonyingi kafanya vema, hebu chagua...
Tupac alikuwa maarufu sana, lakini B.I.G alikuwa akichana zaidi yake, kikubwa sauti ya Notorious ilikuwa na Punch sana.
Hebu sikiliza hii michano kwenye mitindo huru, mwaka 1989 akiwa na miaka 17 tu.
Wakuu Leo kichwa Yangu Haiko Sawa Kabisa.
.
Naombeni Mwenye Jina Lolote la Horror movies ambazo ziko Netflix niangalie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unapenda mikiki ubabe na matumizi ya akili na ngumi ubaguzi imecontain mambo mengi sana mpaka maswala ya jinsia moja lakini hii acha kabisa ina ngumi hatari
Kuna magenge na mapolisi nchi...
JINA: SENYENGE
MWANDISHI: CHIAMARO MOKIRI
MAWASILIANO: Chiamaro.llc@gmail.com / +255 (0)763 170 858
UTANGULIZI.
Maisha ya Hook Hobie yalikuwa na siri nzito aliyoificha kwa zaidi ya miaka...
*Kuna nyimbo nimesikiliza leo kaimba mrisho mpoto ft mbosso_-_TAUSI
kwa mlio sikiliza vipi kuna chochote kinacho leta ule mfumo wake wake wa zamani wa kuwa chana viongozi kwa mafumbo?*
Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika.
Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC...
Nimeangalia movie kadha za kutisha ila hizi mbili ni shida
1. The NUN
2. SICCIN 2
Kama kuna nyingine unaifahamu ni kiboko zaidi nisaidie jina lake nikajipime ujasiri wangu
Habari?
Moja kwa moja kwenye mada:
Jina la 'movie' silikumbuki wala 'sterling' wake.
Mwalimu wa shule ya msingi ama sekondari, anampenda sana mama yake (child mother love).
Kuna siku akawa...
Wakubwa kwanza heri ya Mwaka mpya. Naomba kuuliza wadau tuangalie upande wa pili wa shilingi Katika hili; Wenye flow Nzuri wanashindanishwa na kutajwa sana so that's normal. Nauliza; Ni Rapper...
Leo zimeachiwa episode 5 za mwisho za series ya Money Heist na kufikia mwisho wa series hiyo.
Ikiwa pia tupo mwezi Disemba, mwezi wa mwisho kwa mwaka huu 2021, ni series na movie gani zilikuvutia...
Ebana, kwenye pitapita mitandaoni nakutana na mabishano kati ya tracks mbili zimetolewa na makundi ya Weusi na wale ambao sasa wanajiita Kikosi Kazi.
Naomba maoni yako kuchagua ni akina nani kati...
Kama si muda kubana, tungaliona thread hii tangu jana (Ijumaa), lakini hakuna kilichoharibika, bado ni weekend so twende na hizi hapa kuanzia usiku huu...
Hii itakuwa ni thread yangu ya nane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.