RIP.....
1. Bavon MARIE MARIE: 26 years (1970)
2. Grand KALLÉ: 53 years (1983)
3. Nico KASANDA: 46 years (1985)
4. Vicky LONGOMBA: 56 Years (1988)
5. Franco LUAMBO: 51 years (1989)
6. Soki...
FULL STORY
Author:KerlimKerl
Mwaka:2021
Tuna muona mdada akiwa amelala pamoja na mpenzi wake ndege ikielekea kwenda Northland.
MWANZO WA *****
"Machungwa mazur hay sijui nipatie, kata...
Naomba kufahamishwa mitandao ambayo angalau unaweza kupunguza misongo ya mawazo.
Cartoon, vichekesho, nk.
Nimejaribu nimeona nyingi zinakuwa za matusimatusi. Hizo hapana.
Ni mwisho wa mwaka. Msimu wa sherehe na burudani.
Mimi hutumia BoomPlay kusikiliza muziki. Leo nimeona wamenipa 'chat' ya usikilizaji wangu muziki ulivyokuwa. Let's Share;
Cc; GENTAMYCINE My...
Majina yake halisi ni Tim Bergling amezaliwa septemba 8 mwaka 1989 Stockholm Sweden anafahamika zaidi kwa jina la Avcii alikuwa mkali wa EDM (Electronic Dance Music). Amefariki tarehe 20 Aprili...
TRENI ya abiria kutoka bara iliwasili kwenye Stesheni ya Dar es Salaam majira ya saa tano asubuhi. Kuwasili huko kuliwafanya baadhi ya watu waliokuwa wakisubiri, kuanza kuangalia kwenye madirisha...
Nilikuwa naangalia movie ya Tenet. Sijaenjoi kabisa. Unaangalia movie lakini unakuwa kama unasolve puzzle bwana. Inception nayo ilikuwa hivyohivyo lakini afadhali hii ilikuwa na action nzuri...
Habarini. Si ku nyingi nimekuwa naona wasanii waanzilishi wa hiphop hapa Tz walikuwa wanatokeo, au hasa waliowahi kuishi Mbeya. Sugu anatajwa kama watu wa mwanzo kuanza kuimba hiphop Tz. Huyu ni...
Kwa muda sasa ni kama nimegundua kuibuka upywa kwa ushabiki wa kazi za nyumbani haswa kupitia tamthiliya mbali mbali kwenye TV.
Ni Muda mrefu sana sijaona Watu wamekaa kuangalia Kazi za nyumbani...
Wakuu! Natumaini mu wazima
Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala...
Naombe anaefahamu Ngoma kali za huyu Travis Scott azitaje nijaribu kumfuatilia. Maana jamaa anafanya show heavy na ana fans wakutosha. Ni zipi ngoma zake kali ambazo zipo kwenye playlist yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.