WADAU KWEMA? Poleni na majukumu.
Wakuu nimezitafuta hizi ngoma bila mafanikio mwenye nazo kupitia kifaa chochote naomba(simu,P.C au Compyuta n.k)
1.JAY MO FT NGWAIR&BAMBOO__NISAMEHE.
2.NGWAIR...
Salaam Wakuu,
Niliposikia huu wimbo wa Zuchu wa Mwambieni niliupenda sana ulinikumbusha Nyimbo za Saida Karoli. Nilipoona Challenges mbalimbali na mitindo ya uchezaji Instagram na Tik Tok...
Mawasiliano namba: 0718069269
Sehemu ya 01
Watu walishika vichwa vyao, vinywa wazi kuonyesha mshtuko walioupata, kila mmoja alikuwa haamini alichokuwa akikiona mbele ya macho yake. Ajali mbaya...
Jana na juzi na hata sasa , mji umezima ghafla, Rekodi inaonesha vifurushi vya internet vimenunuliwa Kwa wingi Sana siku ya juzi na hasa Jana
Vijana wawili wa Diamond Platnumz wameusimamisha mji...
MWAGIA HUMOHUMO:Sehemu Ya Kwanza (1)
Toka nimezaliwa nimekuwa mwanamke mwenye mkosi kila mpenzi wangu mwanzo wa mapenzi yalikuwa motomoto. Lakini baada ya muda fulani mwanaume alinimwaga bila...
Dina (sio jina halisi) ni mama wa watoto 3 ambao wote kwa sasa wanafanya shughuli zao na wako vizuri.
Wakati anaolewa alimkuta mumewe na watoto wawili. Katika malezi aliwalea wote kwa usawa bila...
Kwanza natangulia kuomba msamaha kwenu wapenzi wa mpira wa miguu wa simba na yanga lakini pia naomba ukweli huu uwapenye.
Inauma sana pale tunapojivuna kwa watani zetu kuwa watani zetu hawachomoi...
Nautafuta sana ule wimbo wa mwanadada Pauline zongo guitar girl, ndoa ya mateso, nimeshindwa kuvumilia kila mwanzo huwa na mwisho wake mwenye nao aniambie nimtumie contact yangu anitumie whatsaap.
Nimepakua series inaitwa Wu Tang Clan mpaka sasa nipo S02 ni kali mno kama ni mpenzi wa hizo mbanga hii si yakuacha kabisa.
So naomba kama kuna series inayofanana maudhui kama ya hii Wu Tang...
Natafuta Korean series inayoitwa Arthdal Chronicles....!
Nimehadithiwa habari yake kwa Uchache, kuhusu Igutu wenye Damu yenye rangi ya Zambarau...!!!
Wapi naweza ku download hii series..!??
Unaimbwa "ni upepo huu unavuma kila mahali wangu kipepeoo chunga usikutupie mbali
mi wako ua taratibu bado nachanua"
kama kunamtu anaufahamu anifahamishe jina la wimbo na msanii,mara nyingi...
Hatimaye mkali wa muziki wa bongofleva chini ya jangwa la Sahara....Leo amefanikiwa kufikisha views million 100 ndani ya mwaka mmoja akiwa amemshirikisha papaa mobimba .....aka koffi olomide...
BORA NIKAOE TANGA
Bora nikaoe Tanga, tena binti wa Pangani,
Yule anovaa kanga, na mitandio kichwani,
Aongea kwa kuringa, na lafudhi ya kipwani,
Awe na kauli njema, kwangu na kwa ikhwani.
Pangani...
Wadau kwema?
Hivi ni app gani au Website gani naweza nikapata nafasi ya kupakua zile ngoma za kitambo kuanzia miaka ya 2000 huko kwenye game ya Bongo Fleva.
Mfano ngoma za kina Jay...
Filamu ya BINTI @bintimovie ni filamu ya kwanza ya Kitanzania kuoneshwa katika mtandao wa filamu mitandaoni kwa jina la NETFLIX.
Filamu hiyo inaelimisha mabinti kutotamani maisha ya wenzao ikiwa...
Kama umeanza kuangalia series ya john cena ya peacemaker iliyoandikwa na kuandaliwa na James gunn kutoka DC basi ni moja ya series alizotoa boko kwanini?
Series ina sexual scene yaani nusu utupu...
Hawa ndio wasanii 5 wa Hip hop bora wa muda wote
1. Afande sele- Rhymes king namuita genious
2. Proffesor jay- Real life bars legend
3. Fid Q- Analytical and critical thinker
4. Sugu- Activist /...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.