Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Peaky blinders season 6 ni gangster TV show ambayo itakuwa ndio mwisho wa series hiyo na kama ilivyoonekana uhusika wa Tommy toka mwanzoni wa series alikuwa mtu aliyefanya maovu/uhalifu kwa lengo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwema ndugu zangu wana jf Ikiwa ni siku mbili tangu msanii nasibu Abdul almaarufu diamond platnums kuachia wimbo wake unaitwa The one ambao unafanya vizuri Sana ndani ya siku moja umefikisha...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
At their peaks Albert Mangwair na Chid Benz nani hatari zaidi? #forgive Me.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
MTUNZI R.S.S Dondoo; Wengi walinifahamu kwa jina la shaky (23)au tom boe licha ya mama angu kunipa jina la shakira lakin mtaan hawakupendelea kuniita shakira kwajinsi nilivyokuwa najiweka I...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
MIONGONI mwa binadamu waliozaliwa siku ya mwaka mpya yumo Jack Andrew Garry. Jina la mbele unaweza kuchagua moja kati ya haya mawili. Unaweza kumuita Wilshere au Wheelchair. Historia ya maisha...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwa classics nyingine za rap, ila kwangu hizi 25 ndio ninazo zi-feel zaidi kati ya classics nyingi ninazozijua. 25: Poetic Justice - Kendrick Lamar 24: I Get Around - Digital...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
King Life's Biography Ohaegbu Kingsley Chinemeze is popularly known as KING LIFE, from IMO state, Ehime mbano, the third and the last child of his parents, he has two senior brothers his a singer...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Habari za muda wanajukwaa. Kama tittle inavyoeleza naomba kujua nawezaje kupata tamthilia zilizotafsiriwa kwa kiswahili online. Hapa nazungumzia zile ambazo huwa zinarushwa na channel mfana...
2 Reactions
6 Replies
824 Views
Haitham Kim - Ukaniumiza (Audio)
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Jay Mo, Ulimwengu ndio Mama, Mawazo ya Jay Mo Album. Na hits kibao (single) Featuring za kutosha, Remix za kutosha. Mwana FA, Mwanafalsafa, Unanitega Album. Na hits kibao (single) featuring za...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Zenu, Katika utundu wa kutafuta series ya kuangalia kuna jamaa yangu mmoja akanirushia series moja ya Taiwan inaitwa DANGER ZONE CHAPTER 1: THE DARKNESS KNIGHT binafsi sio mpenzi wa movie...
2 Reactions
2 Replies
950 Views
MAUMIVU YASIYO KWISHA(ENDLESS PAIN)...!! . Sehemu ya kwanza. . Mwaka 2016 ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingia chuoni, ilikua katika chuo cha kimataifa cha Kampala. Naikumbuka siku yangu ya...
7 Reactions
204 Replies
22K Views
Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Baada ya kitabu cha nne, sasa tuone kitabu cha pili. Fuatana nami hadi kitakapoisha, pia hivi vyote na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Asee nina shida na Link Ya kui-download high quality WEB DL, DVD rip, HD Na sio ya CAM rip au HTs, cinema record. Msaada asee wa link. Naitafuta tangia mwaka jana Asante
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Hivi huu mstari hapa chini unapatikana kwenye ngoma gani ya FID Q. Msaada kidogo. "Kipaji kama Ngwea, bahati mapande aliwagea, ilikuwaje waache ulaji wa majani ukamuelemea"
0 Reactions
3 Replies
663 Views
Heshima kwenu wakuu. Kuna show moja kali sana ikijumuisha Mary J. Blige, Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar et al. Naomba kama kuna mtu ana link ya full show anisaidie nitazame...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwenye wimbo huu kuna sehemu anasema, "Mchumba wake mfupi, Futi nne mjapan." Huu ni ubaguzi na kama matusi kwa wajapan. Haijakaa poa.
6 Reactions
16 Replies
927 Views
JJ Paulo - Type ( Directed by Sara Jordan) Source : JJ Paulo Joram Johan Paulo is known under the artist name JJ Paulo and is from Tanzania. Most popular songs; Most recently played songs ...
0 Reactions
4 Replies
760 Views
Back
Top Bottom