Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwa wale wapenzi wa movies hasa series basi hapa mmefika! Unachotakiwa kufanya ni kuifuata link ifuatayo then chagua series uipendayo, click hilo file (folder) ndani utakutana na episode moja...
24 Reactions
159 Replies
35K Views
Baraza la sanaa Tanzania BASATA limeendelea na uhamasishaji wa Wasanii Kujisajili kwenye mfumo wa Usimamizi Taarifa za Msanii 'Amis' pamoja na kuwasaidia Washiriki kujisajili kwenye Tuzo za Muziki...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
NOTEBOOK: SEHEMU YA KWANZA Mshale wa saa ulisimama kwenye 4 na dakika zake ,Carry alikuwa akijigeuza upande wa pil ili alale vizuri Ila mwanga wa jua ulionekana kumkera pindi ulipomchoma usoni...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
fizzo kaimu kitabu ulichokitaka hiki hapa. Kama unahitaji kingine sema.
9 Reactions
50 Replies
11K Views
Hii beat inazidi kuwa maarufu na wasanii wakubwakubwa East Africa wanaendelea itumia, nilianza kuisikia kwa Atilo ft Jovial such kind of love, akaitumia Diamond naanzaje, ameitumia Rayvanny I miss...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tunakwenda kuumaliza mwaka 2021 nimekuwa kweny hii industy ya movie mwaka mzima sasa movie zote zilizotoka mwaka huu nmezifatilia kiundani na hizo ndio top 20 kwa movie kali za mwaka huu 1.outside...
5 Reactions
30 Replies
8K Views
Mziki wa bongo umekuwa na mkundi makubwa matatu mabayo ndio yanazungumziwa sana na mashabiki wa mziki makundi hayo ni haya [emoji116] 1. WCB Hii ni label ya mziki ambayo inamilikiwa na DIAMOND...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Let's look up on this talented artist"Veeboiski " Let's see what's he ghat In joining our record deal He dropped "slowly" in few days back, produced by blenderz
0 Reactions
4 Replies
625 Views
Nduguzanguni waungwana Nimependa mnipe movie hii ya Tomb of the river ya korea nimependa trailer ikiwa na subtitle au mnipe link yake au website nitayopata hii movie angalizo isiwe na mb kubwa...
1 Reactions
2 Replies
647 Views
Simulizi: UKWELI WENYE KUUMA ( PAINFUL TRUTH ) Mwandishi: NYEMO CHILONGANI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Msichana Happy alikuwa akilalamikia uchungu ambao ulikuwa umemshika katika...
3 Reactions
155 Replies
21K Views
Binafsi mimi ni mpenzi wa movie zikiwemo za kikorea kuna hiki chuma kibaitwa All of us are Dead kama uliona Train to bunsan basi hii ni yamoto nayo Ok. Mr lee ni mwalimu wa sayansi wa shule ya...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Kiukweli Mimi si mpenzi wa tamthilia za hapa nyumbani/ bongo movie lakini Kiukweli hii tamthilia ya kombolela mtunzi na director wamejitaidi mno. Uzi tayarii
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu jamaa nliana kumsikia kitambo kidogo, I wasn't sure kama yuko serious na game nilimuona mtoto mmoja tu wakishua wakihindi ambaye akishiba biriani ndio anaandika mistari. I was wrong, jamaa...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa washabiki wa HipHop watakuwa wanaijua ile ngoma inaitwa Futi Sita aliyotoa P the Mc kumdiss Nikki Mbishi, baada ya Nikki kuanza chokochoko kwenye ngoma yake ya Welcome to Gambosh Ngoma ya P...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu jombaa toka Canada mwenye asili ya Nigeria ni moja kati ya Hardcore rapper mnoma kinyama,,Ngoma zake Kali kichizi,,,lakini hizi views Kwa Zuchu anazipata ndani ya wiki tu,,,Sasa jamaa mwaka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa watoto wa mjini, hapa ndipo palikuwa mahali pao haswa pakuangalia movie. Hapa sinema za mahaba ilikua mara chaaache, zilizotamba ni za 'Kung fu' za kina Bruce Lee, Bolo Yang, Angela Mao na...
3 Reactions
7 Replies
865 Views
Usiku wa kuamkia leo kwenye NFL walialikwa wakongwe wa West Side. Spoop, Dre, Eminem, 50cent pamoja na Marry J na Kendrick. Walikiwasha Sana Ndani Ya Dikika 14 Tuu Lakini Uwanja Mzima Ulizizima...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Track no 03 on High School The Album
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni korean drama iliyotoka mwaka 2017 ina episodes 18.katika series zangu Bora duniani hii inaingia kwenye Top 3 yangu si rahisi kwangu korean drama yoyote kuingia kwenye list ya best series of...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Linapokuja suala la kutajwa series Bora hizo nitakazoandika Mara nyingi hazitajwi lakini Ni Kati ya series Bora kabisa inawezekana na kutoangaliwa na watu wengi au lah! 1. Banshee Tumezoea...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom