Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habar wadau wa michezo, Baada ya kelele nyingi za muda mrefu kua Tanzania marefa wetu Hua wanaboronga mechi kutokana na kufanya maamuzi ambayo yanaleta utata nimeona ni Bora wawawekee waamuzi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba nijuzwe, huu wimbo uliimbwa na nani na unaitwaje?
2 Reactions
33 Replies
9K Views
is 7 7 e hmm 7 I .it cm uje x hm8m.
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Wadau wa Hip Hop umu JF, heshima kwenu wakuu! Binafsi, kila ninapoitazama hii video ya 'Bongo Hip-Hop' by Fid Q ft. P Funk na kuilinganisha na videos zake zingine zote tangu yupo kwenye hip-hop...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Kwangu mimi "it's not easy" ndo wimbo wangu bora zaidi ambao sijawahi kuchoka kuusikiliza .. Uuuhhh! yeaahh haahh ahh Lord of mercy! I remember the day I called mama on the telephone I told her...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Wapendwa, Hakuna ubishi kuwa huu wimbo ni wa zamani sana na sijui mwaka gani ulitungwa na kuchezwa ila kwa kweli naupenda sana maudhui yake!! Wakubwa wanasema umejaa mafumbo matupu, anayejua...
6 Reactions
73 Replies
62K Views
EP.01 Kaka yangu Denisi alikuwa ni dereva wa magari ya mikoani. Kupitia kazi yake hiyo, aliweza kujenga nyumba kubwa ya kifahari na mke wake ila hawakuwahi kupata mtoto kwa muda wa miaka minne...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Utangulizi. 'Mama watoto' aliridhia mimi kuandika simulizi hii kwa masharti makuu mawili. Moja nijitahidi kutoacha mlango / milango wazi itakayoruhusu watu kuunganisha dots... Masharti mengine...
5 Reactions
35 Replies
9K Views
Nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo mpya ya mkongwe wa hip hop Tanzania Professor Jay lakini kwa mtazamo sijasikia kitu kipya ,Mkongwe huyu anapotoa track basi itakuwa ni gumzi mitaani Hii...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Kwa wale wapenzi wamziki napendeni tushirikishane nani ni bora na katika nyimbo zipi kati ya wanamziki hawa wawili Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Kati ya Francis Ngannou, Kamaru Usman na Israel Adesanya yupi ni MMA fighter mwenye asili ya kiafrica unayemkubali zaidi? Personally namuelewa dogo Israel The Style Bender kwa machejo yake...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Juzi kati episodes tatu za series ya Peacemaker zimetoka. Nimeikubali sana, bila shaka itakuwa series bora sana. Na ina soundtracks za ukweli. Unaipa ngapi?
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Muziki wa Tanzania ni jina la kutaja muziki wenye asili ya Tanzania ya leo. Kama ilivyokuwa kwa binadamu wengine, wakazi wa eneo ambalo hatimaye limekuwa nchi ya Tanzania, walikuwa na utamaduni...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
Ngoma kali sana, Ila kama ni kweli amemuimbia Vee I doubt if it's true kwamba vee hayuko na amani wakati she seem very happy. That aside, jux ni msanii mkali wa RnB na ana fan base yake ya ukweli...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Hii Thread ni kwaajili ya wale wanaopenda kufuatilia muvies na series mpya zinazokuwa released. Universal Pictures wanakuletea Get on up
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Niaje wazee? Natumai mnaendelea vema huku mkiendeleza mapambano dhidi ya janga hili la Corona. Tafadhali usipuuzie, ni serious na inaua. Usingoje serikali ikuchukulie hatua, bali chukua mwenyewe...
19 Reactions
102 Replies
14K Views
Habarini wana jamvi Kwa anayefahamu sana sana tamthilia za ki mexico na za wa brazil jinsi ya kuzi download anifahamishe
1 Reactions
2 Replies
1K Views
sehemu ya 01 Sikumbuki nillifikaje nyumbani, ila nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa safarini kwa ajili ya likizo ndefu ya mwezi wa kumi na mbili. Ila si tu kufika nyumbani, nilifikaje nyuma ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom