Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako. Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza...
3 Reactions
40 Replies
9K Views
Kuna sinema ilikuwa inarushwa Azam TV sinema zetu ikijulikana Kwa jina la Shilingi.Ilikatishwa ghafla ikiwa katikati ya utamu.Nisaidieni namna ya kuipata full movie Sent from my Nokia 5.1 Plus...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nna Idea ya Kipindi cha Television kwa muda sasa, na idea ikiwa kichwani nimekua nikiiboresha siku mpaka siku, niliporidhika kuwa ipo tight nikaamua kuiandika, nimeiandikia Proposal ambayo...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Guys.. Leseni ya Azam ime target Kundi flani la Dini au ni wao wenyewe wame amua kulitega Kundi flani?? Nahisi ni mkakati flani wa kueneza Tamaduni flani Hapa TZ.
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ifiatayoni nyimbo zangu nilizozisikiliza mara nyingi zaidi kwa mwaka huu 2020 Kutoka Tanzania nyimbo zangu bora mwaka huu ni.. Joh Makini ft Lady Jaydee _Kiwembe Darasa ft sho madjozi _ I like it...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Inasemekana hii ndiyo moja filamu nzuri iliyowahi kupendwa hapa duniani. Imetengenezwa mwaka 1972 na mara ya kwanza ilikuwa riwaya lilioandikwa na mwanafasihi wa Kiitalia Mario Puzo. Hii filamu...
50 Reactions
292 Replies
31K Views
Kwanini Mimi[emoji24][emoji24] ep [emoji2388][emoji2390][emoji1370][emoji1370] SIMULIZI YA MAISHA: KWANINI MIMI? 02 MWANDISHI : MIKA AUTHOR MSAMBAZAJI: Simulizi za Gilbert MAWASILIANO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wale wanangu wa Kustream movies, hii hapa ofa. Unapewa log in details za NETFLIX kwa mwezi mzima. Baadala ya kulipa 10,000/- , hapa utachangia kiasi kidogo tu. 6,000/-. Ofa ni kwa watu kumi wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauliza tu kwa wale wanaomjua vizuri mtangazaji nguli wa Wasafi tv mh Baba Levo. CV yake Tafadhali!
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wapenda masebene Bill Clinton toka Congo Huyu jamaa alikua vizuri sana. Tutu Calodji kajikata.(yuko vizuri sana) Alipoondoka Wenge kapotea. Fille Nyafu kapotea. Soleir Wanga kapotea Sabath...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Wakuu habari, Kuna movie naitafuta ila nimeshindwa kupata jina lake Naambatanisha picha za wahusuka kwenye movie hiyo basi kama utakuwa unaifahamu naomba unambie jina lake
0 Reactions
4 Replies
851 Views
Katika mwaka 2021 ni movie gani umeipenda zaidi? Binafsi nimeipenda Dune niliisubiria kwa hamu na haijaniangusha.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza Nimefanikiwa kudownload series ya Strike Back kuanzia season ya 1 mpaka ya 5 (Legacy) nataka kuanzia season ya 6 (Retribution) hadi ya mwisho season 10 Naomba links...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninakipaji cha kuimba na kutunga nyimbo za gospel, tatizo sina mfadhili wa kuniwezesha kurekodi,hivyo naomba mtu anishirikishe hata kwenye nyimbo yake ili niweze kujitangaza
4 Reactions
4 Replies
843 Views
Tumekuwa tukiisubir Spiderman- No way Home kwa hamu sana sasa ijumaa hiyo hapo mzigo umefika Ijumaa hii ni premiere, wana JF na wapenzi wa Marvel kiujumla tusikose maana hamna wakati mzuri wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hawa jamaa walitamba sana kimuziki miaka ya 2005 pale mkoani Mbeya, waliwahi kurekodi nyimbo moja kwa MAJANI inayoitwa NIOKOENI. Kiongozi mkuu wa kundi hili alikuwa akiitwa Nabii Amos. hivi wako...
0 Reactions
2 Replies
718 Views
American Top 40 (December 11, 2021) =============================================== LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On 40 40 The Weeknd - Save Your Tears 01 [2 weeks @ #1] 49 39...
1 Reactions
1 Replies
981 Views
Katika muziki kuna miguso ya ajabu sana, yaani unaweza kusikiliza instrument(s) Fulani ukatekwa kabisa na kufanya uzidi kuupenda muziki husika. Hebu tutumie huu uzi kuzitaja hizo sehemu au...
7 Reactions
145 Replies
15K Views
Taarifa ya Msiba ilimfikia Watende kama taarifa ya kawaida isiyomuhusu ikitagazwa kupitia idhaa moja ya redio mjini Iringa wakati yeye akiwa ni mmoja wa abiria katika daladala moja likitokea eneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom