Wanajamvi na wanahistoria naomba historia ya huyu mwana Mama Diva Jolie Detta aliyefanya kolabo ya wimbo Masuu na Lwambo. Mwanamziki huyu alikuwa na kipaji cha pekee na anastahili kuenziwa kazin...
Hugh Grant amecheza kama Muingereza flani ndani ya London mchovu ana hangaika na duka lake la vitabu huko Notting Hill(mfano Manzese changanyikeni)
Siku moja akiwa dukani anaingia Muigizaji wa...
Aisee Hii wikiend inaisha Vizuri sana link hiyo wanangu sina mengi sana zaidi Ila i bet Hii ndo movie Konki sana kutoka marvel [emoji41][emoji41][emoji41]...
Kwa wale wapenzi wa rumba. Mimi pia ni mpenzi wa rumba. Natafuta sana zile classics za rumba za Congo. Kama unafahamu classics za rumba tupia hapa twende sawa.
Mambo ya madiluu, Franco, Tshala...
Shang-chi The Legend of The Ten rings Ni movie ya kwanza ya Marvel kuwa na Leading asian character ukiachana na sisi weusi tulianza na Late Chadwick’s Black panther. Movie hii inafanya vizuri...
Habari zenu wapendwa natumai muwazima wa afya kabisaa, mdogo wenu me sijambo.
Kama kichwa cha THREAD kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu Wasafi FM maana mimi bado mgen na hii...
Wimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje
Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza
Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa...
Hatimaye baada ya kuisubiri kwa hamu Filamu ya no time die Imeachiwa kwenye baadhi ya website kama pirate bay
ila wale wanangu ambao bando kipengele twendeni Netnaija.movie then scroll down u...
Huyu mwamba napenda namna ya uigizaji wake jamaa serious martial art kabisa in life hata MMA Wanamuelewa huyu mnig movie hazinaga romatinc huyu mwamba ni yeye na kipondo full action yaani
NI...
TRAILERS
1.https://www.youtube.com/watch?v=mKh5mtnQO9I
2.https://www.youtube.com/watch?v=BIhNsAtPbPI
James Bond Movie No Time to Die will be released on sept 30th,2021.
The Movie will mark the End...
Waandaaji wa tuzo kubwa za @mtvema kwa mwaka 2021 ,Wametangaza rasmi kuwa wiki hii mwanamuziki maarufu kutoka colombia [emoji1075] 'Juan Luis Londoño Arias maarufu kama maluma ataachia wimbo mpya...
Nawalaumu ma DJ, nakumbuka 2005 hadi 2009 bongo hip hop ilikuwa juu ma dj wali support mnoo,karibia radio zote walikuwa wanapiga hip hop conscious.
Pongezi kwa Uncle Sam (RFA) ilikuwa kila ijumaa...
Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye...
kuna mstari kwenye wimbo wa fidq na Juma Nature unaitwa Siri ya mchezo anasema "Usishangae kumuona Martin Kadinda" hilo neno lenye red halileti maana nzuri kusikika kwa hewa ingawa ni Surname ya...
Nawashauri hawa majaji wajaribu kuwa fair kidogo kwa hawa washiriki ,binafsi nachukizwa sana na kumkatisha mshirika tamaa wakati akiwa ameimba mstari mmoja tuu wa walochotaka kuimba
Kiukweli...
Kuna movie ya kibongo iitwayo MANENO YA KUAMBIWA ambayo inaonyesha mtunzi wake ni Kitale, ina kasoro kibao. Kasoro kubwa ni kupotosha na kudumaza akili za watu weusi kuwa kila tatizo linaweza...
ONE SHOT : imechezwa na mtalaam scort adkins ya mwaka huu 2021
SANAK 2021 (hindi) imechezwa na mkali wa stunt Vidyut jamwali ukiachana na tiger scroph huyu mwamba ni balaa nenda uone jamaa...
Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii.
Uzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.