Nimebahatika kuziangalia hizi zote, kitu cha kwanza kabisa, hazifanani, ni muvi tofauti ila ukija kwenyr uandishi, huyu aliyeandika hii Squid Game, ameiandika kiuandishi kabisa.
Muvi A: Series ya...
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz
1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize...
Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao.
Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za...
Donnie yen tena ndani ya nyumba jamaa kacheza kama afisa polisi afande bong
huyu mwamba akicheza uhusika wa polisi anakiwashaga kweli na humu kakiwasha kweli hii movie imejaa...
WARAKA MAALUM KWA PRODYUZA DONCHA.
NILIJIIMARISHA KIMUZIKI NA UIMBAJI ULIO BORA KWA KUTUMIA BEAT YA AINA YOYOTE ILE MWAKA2014 KWA PRODYUZA "DONCHA" WA MWANZA.(DJ. DON NALIMISON)
Producer DONCHA...
Mwaka huu imetimia miaka 17 tangu tumpoteze gwiji wa muziki mnamo mwaka 2004 na kuzikwa makaburi ya kinondoni. Nataka tujadili uwezo na mchango wa Ndala Kasheba kwenye muziki wa Tanzania.
Kwa...
Leo nimekumbuka nimetokea kukumbuka miaka sana nyuma. Kuna hizi katuni za Walt Disney zilikuwa na nyimbo ambazo zilitungwa kwa umahiri wa hali ya juu na kuimbwa na wanamuziki wakubwa.
Kuna...
Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii.
Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US...
Ikiwa imepita miezi kadhaa baada ya kuachia album yake ya sound from Africa, usiku wa tarehe 28 Oct rayvanny ameamua kuachia EP yake ikiwa na jumla ya nyimbo 6 na dikika 19 za kusikiliza, mimi...
wakubwa salaam, nimesikia tetesi za kwamba msanii maarufu bongo ma east afrika Diamond alifukuzwa kwenye harusi ya msanii anayeunda kundi la p-square, paulo huko nigeria, eti ni ukwel? na kama ni...
Habari wakuu,
Niwaambie ukweli leo mi huwa sijui kucheza kabisa niwapo club, sasa wakati ule wale ma broman na masister du wanaoujuaga kucheza kwaito walivyokuwa wakijishaua kila ikipigwa kwaito...
Majuzi kuna wasanii wawili wa sanaa ya muziki wa singeli waliamka na akili za utotoni na kuzua taharuki mitandao. Huwa sina utaratibu wa kusifia kilicho kibovu na ikitokea nimesifia msanii kuwa...
Nisiwachoshe.
Sikilizeni alichoimba Ney wa Mitego.
Nafikiri ndio msanii pekee aliyeonyesha kutetea anayoamini kwa muda wote.
Unaweza ongeza lolote kuhusu Ney kama unalo.
Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k
Zifuatazo ni baadhi...
huyu mkongwe mwenye sauti tamu na nyororo ningebahatika kuonana nae ningemwambie nyimbo zako zinaniliwaza sana atakama niachwa [emoji28][emoji28] then ningeubusu mkono wake huyu celine namwelewa...
Breaking News: Majina ya mastaa mbalimbali yametajwa kuwania tuzo za #MtvEma2021 ambazo zitafanyika nchini Hungury mwishoni mwa 2021. Kwenye orodha hiyo staa wa muziki kutoka Tanzania...
Ikiwa ni majira ya usiku na kuisindikiza weekend yangu leo nimeanza kutazama series ya Sleepy Hollow iliyokuwa 'produced' na Fox.
Kongole za kutosha ziwaendee waandishi wa series hii ambao ni...
Kuna hii tabia ya RESERVED, unaingia kula bata unakutana na meza 5 zote Reserved na hakuna pa kukaa, huu ni ubaguzi kwa sisi wateja wenu, ipo siku tutawaachieni na hao watu wenu.
Tafuteni mbinu...
Leo ndio nimejua sijui.
Kiukweli sikuwahi kuwaza kama huu wimbo ni wa dini.
Na nmedata zaidi niliposoma comments za watu kwamba huu wimbo Congo unapigwa makanisani sana.
Wakati huku kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.