Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Lyrics Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, wamejaa hangover utazani jana yake...
2 Reactions
0 Replies
276 Views
MSANII RICHARD MANGOUSTINO ENZI ZA UBORA WAKE KUPITIA TUNGO NA USHAIRI WAKE . wachache sana wanaomjua msanii huyu aliyefahamika kwa jina lake Richard Mangoustino . Enzi hizo msanii huyu Richard...
1 Reactions
3 Replies
389 Views
Mkasa : NILIVUNJA NDOA ZANGU 3 KULIPIZA KISASI Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES KISA CHA UKWELI ANACHOSIMULIA CHARLOTE, ANASEMA HIVI, MAJIBU YA MAMA...
4 Reactions
94 Replies
17K Views
Asalaaam wanajamvini. Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii. Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu zangu wahaya. WIMBO huu unapendwa sana na WATANZANIA ulikuwa maarufu enzi hizo na mpaka sasa ni maarufu. 1. Naomba history yake. 2.Naomba mashairi yake. 3.Naomba tafsiri yake. 4. Naomba...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO. SISTER P . Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo...
2 Reactions
4 Replies
605 Views
📖Mhadhara (75)✍️ Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba...
2 Reactions
7 Replies
372 Views
MTUNZI: NYEMO CHILONGANI. MAHALI: DAR ES SALAAM. SIMU: 0718 069 269. NITAKAPOKUFA 1. Mlango ulisikika ukigongwa kifujo fujo na mzee Kessi ambaye alikuwa ametoka kunywa pombe za kienyeji katika...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Wasalamu, wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake. Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana. Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel...
2 Reactions
9 Replies
707 Views
Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Na Lizzy (Kisa hiki ni cha kutunga, mfanano wowote na watu au matukio halisi ni bahati tu na siyo kusudio langu. Haki zote za kunakili, kuchapa, au kutoa kwa namna yoyote ile iwe ya uchapishaji...
45 Reactions
379 Replies
51K Views
Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece. 1. Jamaa baada ya kuibiwa...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Movie za mapigano Bongo zinakwama wapi asee, naona tumerudi kwenye tamthilia za masimulizi nazo bado stori zile zile unaikumbuka Misukosuko, na Penzi la Misukosuko. Uliangalia ulikuwa kibanda...
2 Reactions
18 Replies
11K Views
SEASON 1 SEHEMU YA KWANZA MTUNZI : PATRICK.CK Ni saa sita za usiku sasa bado jaji Elibariki chukuswa yuko sebuleni akiendelea kupitia kitabu chake cha sheria .Katika meza ndogo kulikuwa na vitabu...
83 Reactions
3K Replies
2M Views
FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI. LET IT SHINE (2012) Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones. Nilianza kumfahamu...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI SEASON 1 SEHEMU YA 1 MTUNZI:PATRICK CK MAWASILIANO :0764294499 DAR ES SALAAM 20/04/2032.. Saa kumi alasiri muda ambao jiji la Dar es salaam...
27 Reactions
447 Replies
156K Views
Habari wana JF? Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu. Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi...
4 Reactions
1 Replies
259 Views
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina...
5 Reactions
21 Replies
776 Views
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA" Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa akiimba wimbo wake kwa...
2 Reactions
12 Replies
852 Views
Back
Top Bottom