Wakuu,
Naomba tu support kazi ya binti yetu ametoa single inaitwa “Harusi Nyeusi”.
Please share and repost
Tik tok https://vt.tiktok.com/ZS6hUK76M/
Instagram...
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego...
Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda...
Mzuka wanajamvi
Nipo hapa naandaa script ya movie bonge la movie ambayo itateka gumzo la kila mtu nchini. Jina la movie Muuza madafu encounter freedom.
Ni hivi. Inaanza magaidi kutoka msumbiji...
"Watu wanasema nisikufuateee,tena ikibidi nisikukumbuuuke,thamani ya kitu ajuaye mwenye chakee,niacheni chozi linidondoke.Nikikumbuka iyo sura yaaake ...."
Wakuu anayeukumbuka huo wimbo naomba...
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya...
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi.
Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
Hizi ndio nyimbo 15 nilizozikubali zaidi mwaka huu
15. AYRA STARR COMMAS
Country: Nigeria🇳🇬
https://youtu.be/EhyzYPSHRQU?si=cbdRnjb8o5DmTy8z
..
..
14. DIAMOND PLATNUMZ- HOLIDAY...
Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo...
MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA
Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao...
Verse 1
Ni safari ndefu,
Ya mwanadamu,
Kimaisha na mapenzi,
Ni mke au Mume,
Mara moja kubahatika.
Maishani mwako,
Kumpata mtu fulani,
Ambaye huwa ni Maalum kwako,
Kipenzi cha moyo wako.
Kwa...
Heshima kwenu wanajukwaa.
Kama tunavyojua kwamba huu ni msimu wa sikukuu za xmass and new year na kuanzia leo just tunahesabu siku kuelekea siku ya jingles, so uzi huu ni maalum kwa ajili ya...
Weekend
[Intro]
Weekend
Na East Zoo y'all
Chemba Squad y'all
Bongo Records, yo
C'mon
[Chorus]
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.