SONEL - POSTA.
Chorus..
Posta posta city centre
Posta posta city centre
Posta posta Dar hii bwana kila mtu ukimuuliza anakwenda posta /
Say..
Verse.1..
hi ndio posta Dar town city centre /...
Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
Wakenya wajanja sana.
Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.
Paap akaingia kwenye...
Kama Kuna wengine unaowajua Ruksa kuongeza.
Juma Nature aka Kiroboto - Sinta mpaka Nyimbo kamuimbia.
Mb- Dog --- Nancy Sumari Mpaka Nyimbo kamuimbia
Jagwa Kuna msanii wa mnanda alimuimbia -Asha...
Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya...
Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny...
Simulizi: Kurudi Kwa Moza
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Moza alikuwa msichana mrembo ila aliishi maisha ya shida na kumfanya ajaribu kufanya kazi za...
As a music lover, I believe I could name you many. What comes to my mind now & as an answer to your precise question is:
“I belong to you”, by Jacob Lee.
Enjoy!
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki.
Taarifa hii...
Wakati nasoma shule ya msingi kulikuwa na watu mbalimbali wanakuja shuleni kufanya maonyesho ya mazingaombwe, yale maonyesho yalikuwa na buradani ya aina yake, wanafunzi wengi walikuwa wanalipia...
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike.
1.nisamehe ya belly black ft Suma lee
2.ulofa ya top c
3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P
4.lala salama ya...
MASIKINI WEZANGU - NGWEA.
Wachache ndo wanaishi wengine maescorts/
Twiga wanapanda pipa hata bila ya passports /
Mikoa mingi bado haina hata airports /
Zaidi ya migodini madini kuyaexport /
Bila...
MTUNZI: SHAABAN ROBERT.
WACHAPISHAJI : Tanzania Publishing House. Dar es Salaam.
SURA YA 1
Mfalme Rai
Rai, mfalme wa Ughaibu , alikuwa mfalme namna ya peke yake duniani. Alikuwa na tabia...
A man of the people
Enters his office
to sit on the throne
of Party and State,
His stick of power
Across the table.
He looks into the files
To see the demands
Of the millions of people
Who for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.