Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing...
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .
Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .
Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine...
Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪,
Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa...
PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU
VERSE..1
Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa...
Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini.
Mimi mkristo nasikiliza...
AFANDE SELE FT MR. NICE
( MIMI NA WEWE BASI)
CHORUS ( MR NICE)
Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah"
Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande...
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia.
Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024:
1. Marioo
2. Diamond Platnumz
3. Harmonize
4. Alikiba
5. Zuchu
Orodha ya nyimbo...
Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka.
Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love...
HIP HOP YA BONGO.
Wasanii wa hiphop wanaunda sehemu kubwa na ya muhimu katika muziki wa Tanzania. Japo kuna watu wanaoamini kuwa ushindani kati ya rappers wa Tanzania umepungua ukilinganisha na...
MWANA FT. PROFESSOR JAY.
SONG. JUKUMU LETU.
VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY)
Professor jay:
Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na...
Mimi huzipenda sana,kwasababu zifuatazo:
1.zina mafunzo mengi ya maisha
2.wasanii wao ni watu wenye ujuzi mkubwa,wana act vizuri mno kwa kila scene
3.wanajua kuvaa vizuri kulingana na scene...
Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu:
Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature
Alikiba, Matonya & MB Dog
Joslin, Noorah & Mr. Blue
Ungechagua...
PROFESSOR JAY FT BANANA ZORO - NISAMEHE..
VERSE 1. ( PROFESOR JAY)
"Usiniache mupweke utafanya watu wanicheke/ ni wewe pekee uliyefanya mi ni deke/ kuvunja mpenzi letu utafanya mi niteseke/...
Umefanya kosa let say 'treason' then ukakamatwa na umepelekwa mbele ya mmoja kati ya hawa ili uhukumiwe, unadhani yupi angalau anaweza kukusikiliza na kukusamehe?
1. THEODORE "T-Bag" BAGWELL...
PROFESSOR JAY.
MAGEREZA yanawaka moto Wafungwa ndani ya msoto/
Wanaume wanavyocheza Baba na mama kama watoto/
Ni ukweli usiofichika mfungwa hachagui gereza/
Wote wana haki sawa sio tu...
CHANGE
Story by Elton Tonny
Urafiki, Familia, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo yasiyotazamiwa, Mambo yenye kuhofisha
R-rated 18+
DISCLAIMER: Hadithi...
..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.