Hey, hey, hey, hey
If you want to be happy for the rest of your life
Never make a pretty woman your wife
So for my personal point of view
Get an ugly girl to marry you
If you want to be happy for...
Ili umuelewe lazima uwe umesoma Cuba au una C flaat kwa sababu nikki mbishi huwa hawaimbi vilaza kabisa.Yeye yupo mbele muda
https://www.youtube.com/watch?v=hdA0WP4skII
Baada ya miaka mingi ndio sasa tunaanza kumuelewa Diddy na janja janja zake.
Wakati wanajua namna pac alivyokuwa analalamika kwa kuwaanganisha bad boys na tukio lake kupigwa ila bado waka toa...
Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa...
MSANII DUDU BAYA.
Msanii Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu baya, amefunguka juu ya wimbo ambao ulimpa umaarufu " Mwanangu Huna nidhamu"
Msanii Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu...
Mzee wangu aliwah kunambia kuwa ntapata shida sana nikiwa mtu mzima dunia hii. Sabab aliniona ni mtu ninayependa na ku enjoy ukwel na hii imesababisha nikose hata marafiki wengi.
Hizi movie za...
MWANA FA ( SONG - NAZEEKA )
Wote bado wana fuata mi ni kama mdundiko/ hata ujifiche wapi sauti itakufuata ulipo/ busara na maumivu katikati ya kauli zangu/ mimi ni kaka mkubwa jamaa msibishane...
Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy.
Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya...
Hello Jamii Forums,
Naombeni support, nifikishe walau Views 500 kwa project yangu ya hivi karibuni, na walau Subscribers 100. Mimi Ni Producer/Songwriter na kwenye nyimbo zangu najaribu mix...
[Blue]
yep yep
kushuka na kupanda, jana tumeshuka cheki leo tunapanda
nimepata idea ya kusambaza kanda, nimepata show za kenya na uganda
burundi na rwanda, twende pamoja twende tukasake chanda...
Wakuu habari zenu, natumai mko poa.
Nimekuwa mpenzi wa vitabu kwa muda mrefu, pia nimewahi kusoma vitabu vingi, ila niseme tu hichi kitabu sikuwahi kukimaliza nadhani wakati kinatoka sikuwa...
SISTER P FT. UNIQUE SISTERS "NIMERUDI TENA"
""Nimerudi Tena nina maana katika fani/ nataka kukumbuka Enzi zangu za zamani/ niliposhika mic watu walinipenda/ nikawa kimya kidogo watu wakaponda/...
CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA..
"kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:-...
THAMANI YA MWANAMKE KATIKA JAMII.
Mwanamke amekuwa nguzo muhimu sana ndani ya familia pale ambapo mwanaume anakuwa hajui wajibu wake ndani ya famili ,
Hii imekuwa ina tokea katika nyakati...
UMUHIMU WA ELIMU.
Dunia ya leo inahitaji utaalam/ufundi wa namna nyingi/Mbalimbali kwa mtu mmoja ili afanikiwe na kuwa kivutio katika soko la ajira na kuweza kwenda na wakati kulingana na...
BRONX FAMILY - MAMBO YOTE.
"Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga...
K
ARATA DUME - AFANDE SELE
Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.