Ni movie ipi ambayo uliichukua ukaingalia mara ya kwanza hukuielewa ukarudia mara ya pili ndo ukaelewa, au pengine hata mara ya pili pia hukuelewa ikabidi ulizie kwa watu waliyo iona wakueleweshe...
SIMULIZI: ELIZA NA NDOA YANGU
SEHEMU YA KWANZA (01)
man Middo +255 655 969 973
Ilikua 2012 nilipata kumaliza kidato cha 4. Nilijijua kuwa nitafeli tu kutokana na sababu ambazo ndugu na mama...
SIMULIZI: SABABU NI KIFO CHAKO BABA! (Kisa cha kweli cha kusisimua)
SEHEMU YA KWANZA (01)
MTUNZI: Man Middo Tz +255 655 969 973
Hakika kila kukicha shukrani kwa Muumba kwa kukufikisha siku...
Yeah...!!
Aaah Aah Aah
Dar es salaam stand Up Again..
Kg song
Chuma.
Aaah Aaah Aaah
Verse.. 1. ( chid benz).
Najulikana kama Ugali msingi na Secondari/ Boma primary mita chache na usawa wa...
RIWAYA; BAHARIA
NA;BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
VITABU VILIVYOPITA.
• MPANGO WA CONGO
• DAKIKA ZA MWISHO
• URITHI WA GAIDI
• OPERESHENI JICHO LA PAKA
• SAUTI YA MTUTU
• MBWA...
WATU PORI - NAFSI YA MTU.
Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/
Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho...
PROFESOR JAY FT LB GENIUS & IMAM ABAS " NA BADO"
Natumia nafasi hi kudhibitisha kipaji changu/ nikiwa ni mkakati wa kuinua jina langu/ na huu sio mkwala tu ni msisitizo wenye nia/ kama kipaji...
Wakuu ushauskiliza huu wimbo wa marioo uitwao 2025.
Ukiuskiliza huo wimbo ni ameongea mapnzi tu. Akisisitiza kuwa atadumu na mpnz wake Hadi 2030+
Sasa huu wimbo ukiuskiliza kwa upande wa...
ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU
https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl
"Machozi Jasho na...
Wanabodi,
leo nikiwa natoka mahali kwa kutumia public transport, ukapigwa wimbo wa King Kikii, kitambaa cheupe, hivyo from no where, nimetokea kumkumbuka mwanamuziki mkongwe huyu, jina kamili ni...
Baadhi ya watangazaji wanatumi majina bandia(AKA) kwa sababu mbalimbali kama vile ubaya wa majina Original, jina kufanana na la kwenye bibilia mfano Yohana, Yeremia, Petero nk. Kwa hakika sababu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Watanzania wengi wameshakata tamaa ya maisha na hii si kwa wasiyo nacho tu, bali hata kwa walionacho!.
Kila mtu anatafuta pesa kwa njia anayoifahamu yeye...
Huyu mzee wakati huo sijui alikuwa anawaza nini wakati anatunga huu wimbo . Kweli muziki ni fasihi ya wakati. Ukiangalia kwa nyakati za sasa ni kama vile kuna mtu(kiongozi) anaona matatizo ya Watz...
Mwamba aliweza kuja na biti kali ambazo zilikuwa na chembe chembe za sound za mwambao akichanganya sound za dance hall.
Aliweza kutukosha zaidi na ngoma ya "na wewe tu" na "najua"...
wakuu natafuta nyimbo ya mr blue ile tabasam yenye version ya Q chief. Kila nnayoona kipande cha Q chief kimeondolewa. Mwenye nayo tafadhali. Mim kijana wa zamani nikumbukie enzi yetu
Karibuni kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Comics (Super heros) hasa kwa mashabiki wa DCEU movies na MCU movies.
Mimi ni mshabiki wa Marvels hasa Doctor Strange upande wa DC nampenda Joker...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.