Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

HAKUNA NOMA - PROFESSOR JAY. "SIMPLE X" " ni Extra extra ! Extra Vakaza hakuna noma !/ kazi ndio kwanza inaaza tega sikio upate soma la shahada ya kwanza/ Daima sintanyamaza kuongea...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Mwanamuziki Tyla ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo tatu usiku mmoja katika tuzo za MTV European Music Awards (EMAs) za mwaka 2024 zilizofanyia usiku wa kuamkia...
1 Reactions
0 Replies
312 Views
Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
3 Reactions
94 Replies
1K Views
Kuna wanangu nimewalusha umu one love Sisi n ndugu ama vip wadau wangu,ambao sijawataja mtanisamee Bure mana sija yakalili majina yenu vyema ila tupo pamoja🙏🏽
3 Reactions
21 Replies
512 Views
Hizi tamthilia kwa kweli zinachosha, kwanza lugha inayotumika huko hata hatuijuwi. Ni bora muonyeshe mbuga zetu za wanyama.
0 Reactions
4 Replies
194 Views
Msanii wa Afrika Kusini, Tyla, ameibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best African Act’ katika hafla ya MTV Europe Music Awards (EMA) 2024. Katika kipengele hiki, Tyla alishindana na wasanii wengine maarufu...
2 Reactions
2 Replies
378 Views
Wakuu habari za muda huu, Poleni na majukumu. Msaada tafadhali. Nahitaji Lyrics ya ngoma ya Godzilla ft G.Nako_KILA WAKATI. Nimetafuta sana,saana,sana. Mwenye nayo plz,Huko youtube nimetafuta...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
"Warning, this is the chief of police speaking Do not steal police hate competition I repeat do not steal police hate competition. Where we gonna run, where we gonna hide? You've got the right to...
2 Reactions
1 Replies
236 Views
Simulizi: NINI MAANA YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Alikuwa binti mpole ila muongeaji sana, aliyelelewa katika mazingira ya dini, nyumba...
6 Reactions
605 Replies
136K Views
RIWAYA: KASRI YA MWINYI FUAD MWANDISHI: ADAM SHAFI ADAM IMELETWA KWENU NA: BURE SERIES SEHEMU YA 1 KIJAKAZI alizaliwa kutokana na ukoo wa kitumwa. Baba yake na mama yake walikuwa ni miongoni mwa...
4 Reactions
119 Replies
18K Views
Wakuu Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange...
0 Reactions
3 Replies
541 Views
Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Nimeanza kuangalia Jumba la Dhahabu, itoshe kusema stori ni kali ila ubora wa sauti ni mzozo Quality ya sauti ni mbaya mno, by the way series ni kali.
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Hello wakuu. Ningeomba kufahamu, ni nyimbo gani zinaweza kua identified kua hizi ni za asili halisi ya Kitanzania, yaani Bongo-Flava. Maana kwa wingi muziki wetu wa nyumbani umekua influenced na...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
PENZI LA ANKO-1 "We Doreen," mama aliniita kwa sauti ya ukali. Sikutegemea kumkuta yuko macho muda huo japokuwa alikuwa chumbani kwake. Ilikuwa saa nne usiku. Kwa kawaida mama ikishafika saa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MESEJI MOJA...........(01) Imeandikwa Na SALUM KALASE. MAWASILIANO: 0625000557 SEHEMU YA KWANZA. Kwa majina naitwa James Daudi ni kijana wa miaka ishirini na tano. Katika umri wangu huu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Kuna member humu kwa jamvi kasoma hyo novel au tazama movie yake. Tujikumbushie hapa! Welcome
2 Reactions
192 Replies
21K Views
Simulizi: Mpenzi wangu Amina.(01) Mwandishi: Salum Kalase Sehemu ya kwanza. Maisha ni kuchagua na mimi nilichagua kumpenda Amina katika maisha yangu yote bila kujali ni nini kitakachotokea...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao. Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga...
3 Reactions
10 Replies
292 Views
Back
Top Bottom