Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Huu ni wimbo ambao Marehemu LANGA aliifanya kipindi cha mwisho wa uhai wake Lakini haikuweza kutoka rasmi kwa mara ya kwanza niliusikia siku ya msiba wake pale kwao mikocheni Leo kwa mara...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
RIWAYA YA CONNECTION Mtunzi: Robert Heriel Mwaka 2024 Riwaya; CONNECTION Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi: Facebook: Robert Heriel Tz Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli...
4 Reactions
29 Replies
8K Views
MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
0 Reactions
3 Replies
643 Views
PHILIBERT KABAGO "Philibert kabago ni msanii wa kizazi kipya ambae masikani ama chimbuko lake ni kutokea jiji Mwanza, na ni sehemu ya Group members waliounda Crew ya " Boys with Voice" Crew ya...
1 Reactions
2 Replies
255 Views
Kama una muda na wewe ni mdau wa movie au series tazama hii series ya From ambayo kwasasa tupo Season 3. Ni moja ya tambala kali sana. Watu mbalimbali kwa nyakati tofauti wakiwa na magari yao...
3 Reactions
19 Replies
754 Views
Mmemsikia King Kong lakini? Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio...
1 Reactions
5 Replies
494 Views
Niliuliza swali humu JF, Kwanini huyu msanii wetu mkubwa anaimba sana nyimbo za kuhamasisha ngono tena kinyume na maumbile. kwa wakati ule sikupata jibu, sasa jibu limepatikana, ila ninacho msii...
1 Reactions
19 Replies
786 Views
Baada Agosti 27, 2024 mahakama kutoa hukumu ya kesi tukio kuuawa kwa Milembe Maunga, na watuhumiwa watatu kukutwa na hatia, wakihukumiwa kunyongwa, kwa sasa napata fursa ya kulielezea tukio hilo...
25 Reactions
355 Replies
61K Views
Msanii Ashanti Anaitwa Ashanti Sheqouiya Hayles maarufu kama "Ashanti" mwanamuziki mkongwe wa RnB kutoka nchini Marekani. Moja kati ya wanamuziki walioacha alama ya dhahabu katika muziki wa...
1 Reactions
9 Replies
383 Views
https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01 Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand. Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts...
2 Reactions
8 Replies
517 Views
RIWAYA: DHAHAMA SURA YA KWANZA Hali ya simanzi ilikuwa imetawala katika eneo zima la kasri la kupendeza la kifalme katika himaya ya Majichungu inayopatikana katika bahari ya...
2 Reactions
21 Replies
27K Views
Hii ni habari njema kwa Music Industry yetu kwani baada ya mwaka jana (21 October 2023) tuzo hizi kufanyika BK Arena huko Kigali, Rwanda, sasa ni zamu yetu. Tuzo za Muziki zinazoandaliwa na Trace...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Habari za Sasa hivi wakuu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu. ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu...
6 Reactions
68 Replies
17K Views
Wakuu kwema? Hope muwazima wa Afya. Wakuu nimetafuta hizi nyimbo bila mafanikio mwenye nazo plz naomba apandishe hapa plz,plz. 1. Nisamehe ya Jay Moe&Ngwea& Bamboo. 2. Ngwea Mida mibovu ft...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MTANGAZAJI "DJARO ARUNGU WA TBC FM . Watangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) D’jaro Arungu @djaroarungu (Baba Mzazi) na Abdul Khalifa @seankhalifatz wameshinda Tuzo za The MVAAWARDS...
0 Reactions
3 Replies
460 Views
Kizazi cha kuanzia kwa Mkapa chukueni hii MAKUNDI YA BONGO FREVA ENZI HIZO: 1. BDP (BIG DOG POSE) - Majobless 2. BORN CREW - Heshima ya ndoa 3. BOYZ FROM THE ARMY - Siku za hukumu 4. BWV (Boys...
1 Reactions
12 Replies
560 Views
Habari ndugu zangu, nilikua nahitajii mwenye RIWAYA zozote zile Za kiswahili naomba anisaidie, natanguliza shukrani 🙏
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Nafasi niliyoacha hapo juu ni salaam, Kifupi mpangilio wa tukio ni mbovu kupita kiasi, Ma Mc nao ndo wameharibu kabisa shughuli yenyewe! Kifupi hakukuwa na maandalizi kabla ya tukio au labda...
4 Reactions
8 Replies
646 Views
Vipi hii historia unaikumbuka. GCB KUNDI LA MUZIKI TOKA MKOANI SONGEA. ________________________ GCB ni moja Kati ya makundi ya mwanzo kabisa Nchini Tanzania kufanya Muziki kutokea mkoani...
2 Reactions
2 Replies
432 Views
Back
Top Bottom