Mamtoni Kuna ranking za verse Kali za Hip hop ambazo vesi kama zifuatazo zimepata kupewa hadhi ya juu mara nyingi,
NY state of mind verse 1- Nas
Shook one verse 1 - Prodigy - Mob Deep
Loose your...
Mwaka 2021 nikiwa hapa home tz nilikua na pesa flani ambayo nilipanga niagize bidhaa Ali express nianze kuuza maana Nina uzoefu na kuagiza mizigo huko kutoka China through Ali express bahati mbaya...
SIMULIZI: KIJANA SHUJAA….. “Ilikua ndoto yangu kuja kufanya jambo kwaajili ya Taifa”
SEHEMUYA KWANZA (01)
Man Middo
Kabla hajatimiza ndoto yake kijana shujaa alikua kapuku tu muuza dagaa katika...
"Sikiliza nikuambie wewe dataz mume wa mtu ni hatariiii...🎶"
https://youtu.be/EPQiEXLzYY4?si=B60DDmFLAMapuPFh
Siku hizi mna visabengo kwenye muziki sasa mnakaa kuhamasishwa alafu yakiwakuta ya...
Simulizi: JAMANI MCHUNGAJI !!
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Masikio yake hayakuamini anachokisikia lakini ubongo wake uliamini kuwa mkewe alikuwa...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia.
Msiba wa H- Mbizo umetokea katika...
Na James Mbotela.
MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI
Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale...
Ni siku nyingi kidogo, mwaka 1980, lakini ni tukio ambalo liliniuma sana. Ilikuwa vigumu sana kulisahau na lilinifanya nijiulize, inakuwaje Mungu anakuwa mkatili kiasi kile. Lakini bila shaka...
We did have a greatest love of all, but her Jolene come and destruct everything, she said that I believe in you. i said I still lost you ,Im afraid to be coward of the country, she said no matter...
Nimeisikiliza hii ngoma ya Dizasta Vina. Inaitwa Mwanajua....nimeskiliza zaidi ya mara 20 Lakini hadi leo sijaelewa hii fasihi jamaa alilenga kitu gani, Kuna anaefahamu?
Huyu...
Note; hii Ni story ya kweli kabisa imemkuta one of my close friends, nilimuomba kuipost kwa ahadi ya kuficha utambulisho wake na ameruhusu, kuna la kujifunza hapa. Twende kazi.
Naitwa Bella (sio...
Habari zenu waheshimiwa.
Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi...
Habari wapendwa? Poleni na jukumu zito la ujenzi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Ama baada ya salamu niende kwenye maada moja kwa moja. Leo nimeona nilete simulizi kumi kali nilizowahi kusoma hapa...
"Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko,
Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu,
Unamuita darling au wife mama mamito, Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho...
Hadithi ya Uongozi na Mamlaka
Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii...
FINA MANGO NDANI YA POWER BREAK FAST CLOUDS FM.
Fina Mango Mtangazaji wa Redio aliye Jipatia umaarufu mkubwa katika utangazaji kwa kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm..
Enzi hizo...
Riwaya ya Kijasusi: SAUTI YAKE MASIKIONI MWANGU
Mwandishi: KELVIN KAGAMBO
Imeletwa Kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
“..... na sasa ni zamu yako. Sali sala za mwisho tufunge mkataba.”
“Lakini...
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali.
Unachotakiwa kufanya:
- Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo...
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums!?
Lengo la Uzi wangu nilikuwa nataka kusema kwamba kuna vitu huwezi kusema unavikubali ila nafsi yako itasema tu, Kuna wimbo Mmoja wa Ali kiba sijajua kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.