Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Oiii wadau ivi ile show ya leo ya WCB pale Mwembe Yanga ilikuaje walijaza au ndo doroo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023 Za kila aina"
4 Reactions
48 Replies
7K Views
From Football Pitch to YouTube Peak: Cristiano Ronaldo and MrBeast Discuss Fame, Football, and the Future of Content Introduction What happens when a football legend sits down with the king of...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma. ===...
4 Reactions
14 Replies
842 Views
Ladies and gentlemen, its me again. The creater of stories like “How I met my wife” na “Cheaters: the series”. Nakuleteeni Goodness of fit. A story of love, blackmail, betrayal and politics...
28 Reactions
181 Replies
53K Views
Hbar ndugu zang! Zifuatazo ni ngoma kali za kale ninazokubali. 1.indemoni 2.kasongo yeye 3.Aarlus mabele . kwa wanaojua tuendeleze idadi,ahsante
0 Reactions
0 Replies
284 Views
SURA YA KWANZA ASUBUHI YA HEKA HEKA Utangulizi. Richard Dawson, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisikanda maalum ya Dar es salaam, miaka mitano tu tangu ajiungena jeshi hilo, lenye jukumu la...
0 Reactions
109 Replies
19K Views
Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii...
9 Reactions
10 Replies
6K Views
Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake" Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa...
3 Reactions
0 Replies
287 Views
[emoji725]CHOMBEZO: NILIPOFUNGWA GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• SEHEMU YA 01 "Na kesi imehairishwa mpaka tarehe ishirini na...
5 Reactions
58 Replies
21K Views
Rip Bruce Lee, Bolo Yeung, Jimmy Kelly, Angela Mao,robert Wall Kien Shih, John Saxon, Ahna Gapri, Sammon Kam-Bo Hung, Geoffrey Weeks.
0 Reactions
1 Replies
202 Views
Mkasa : MKUKI KWA NGURUWE Mwandishi: MSUYA M MSUYA (EMUTHREE) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ni kisa na mkasa, chenye mafunzo ndani yake, kinachotokana na ushauri wa kirafiki kati...
3 Reactions
210 Replies
35K Views
Wadau, mie mwenzenu ni mpenzi sana wa movie lkn nikienda ku-burn nakuta movie zote zimetafsiriwa kiswahili Sasa mimi maskio yangu ni mazito sisikii vizur kwahiyo yule mkalimani huwa simsikii...
1 Reactions
10 Replies
437 Views
Huyu Tayla ni binti mdogo lakini ni hatari. Hii nyimbo aliyo toa sasa kaziba midomo ya watu. Mwaacheni abebe tuzo zote nyie endeleeni kuruka hizo amapiano tuzo mtazisikia kwenye bomba...
1 Reactions
9 Replies
459 Views
https://www.youtube.com/watch?v=TD2UdkY-nYI Planet Rizq - Official Movie Trailer In the distant future, humanity's history is forever changed when several colossal pyramid-shaped ships arrive...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA, Leo wacha niwape Fursa vijana wenye vipaji na hawajapata mtu wa kuwashika mkono. Ndugu yangu kama wewe ni msanii chipukizi na unahangaika siku zote, una kipaji cha...
0 Reactions
8 Replies
381 Views
NAWAKILISHA - PROFESSOR JAY ( VERSE) BY PROFESOR JAY Swadata..!! Toka utotoni sauti inawika/ nami napiga goti kwa watu nakubarika/ Najenga imani kwa mashabiki wengi ma dingi/ vinapo chekechea na...
3 Reactions
2 Replies
261 Views
Hawa watu walitingisha sana enzi zao. Kati ya hawa mastar waliochuana sana enzi zao, wewe unamkubali nani zaidi weka vigezo 1. Number of awards Won, eg Oscra, BET, Grammy Etc 2. Ngoma zilizoshika...
12 Reactions
56 Replies
7K Views
Wana jamvi,mimi ni mdau mkubwa wa mziki wa mchiriku/mnanda. Mziki ambao ulitawala na kujizolea umaarufu mkubwa kwenye miaka ya 90 hadi 2000,binafsi nimekulia kwenye jamii yenye kuhusudu mziki huo...
13 Reactions
282 Replies
45K Views
Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies .. Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch...
2 Reactions
6 Replies
375 Views
Back
Top Bottom