Kwenye swala la muziki ,wera namuelewa sana toka bcbg kitambo tu.
Wera yuko vizuri sana kwenye utunzi, pilika za jukwaani hawezi, nakumbuka bcbg adolph domingez na Emilia walikua wanamtoa...
Heshima kwenu nyote.
Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina.
Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na...
Nyota za "Hollywood Walk of Fame" ni alama za mafanikio katika sekta ya burudani, zikibeba majina ya wahusika mbalimbali kama vile waigizaji, wanamuziki, producers, directors, vikundi vya...
Ni tamthiliya ambayo ilikuwa na kisa kizuri ambacho naamini kama wangepatikana watu wenye ujuzi au uzoefu zaidi wangekiandikia na kukicheza vizuri zaidi. Pengine lugha pia inapunguza utamu kwa...
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 1
MTUNZI: Madodi ✍🏼
Whatsapp: 0655 969 973
Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa...
JOE MAKINI - HAO.
A city
Your now lucking with the best.
Joe makini
Aaah..
Yeah.
Aaah..
Verse..1.
Hawa ongopi hata kusema hukumu imekaribia/ na waimbaji wa dini na hata wao pia/ wanatuzwa na...
Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA
1.
Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii,
Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri,
Navumilia huenda nitapata kivuli,
Nitapata kivuli imeshakata miaka...
Wakuu
Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa...
JOE MAKINI - DAKIKA 90
Nafika home kisha mama yako anakueleza ndani ya hi game umefunikwa na joh makini mwamba wa kasikazini/ utamjibu nini umefanya kweli kiasi ambacho imewapindi kupana...
1. Apocalypto (2006)
2. Indiana Jones and the Last Crusade (1989)
3. The Lord of the Rings: The Two Towers (2002)
4. The Empire Strikes Back (1980)
5. The Shawshank Redemption (1994)
6. The...
1: Nas - New York State Of Mind
"I never sleep, cause sleep is the cousin of death. Beyond the walls of intelligence, life is defined. I think of crime when I'm in a New York state of mind"
2...
Nimeanza tabia mbaya tangu nikiwa shule ya msingi, nimefanya na watu wengi sanaa tena sanaa. Lakini kwanini naandika kitabu hiki?? Ni kwa sababu ninataka ufahamu kitu; kuwa tangu nianze kuwa na...
Nimetulia mbele ya kioo cha TV nikasema leo nisikilize nyimbo za injili ili kuiandaa ibada ya jumapili. Kama mnavyojua walevi na wapenda starehe huanza kujiandaa siku ya ijumaa hivyo nami nikasema...
Habari wadau leo nimejaribu kutumia AI kuandika hadithi ya kijasusi iliyomhusu bwana mdogo Daniel Khalife(Ex-soldier). Twende pale :)
Katika ulimwengu wa kivuli na hila za kijasusi, jina Daniel...
Albamu ya Apollo ya Fireboy DML: Safari ya Upekee katika Muziki wa Afro-Beatz
Katika ulimwengu wa muziki wa Afro-beat, albamu ya Apollo ya Fireboy DML ni mfano halisi wa ubunifu wa kisanaa na...
MFUMO WA UUZAJI WA ALBUM AMA KAZI ZA WASANII..
Wasanii wa Tanzania wana sababu nyingi sana za kwanini hawatoi album. Baadhi ya sababu kama kufa kwa mfumo wa uuzaji wa album uliokuwa ukifanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.