Lyrics
Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku,
alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku,
walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser,
wamejaa hangover utazani jana yake...
MSANII RICHARD MANGOUSTINO ENZI ZA UBORA WAKE KUPITIA TUNGO NA USHAIRI WAKE .
wachache sana wanaomjua msanii huyu aliyefahamika kwa jina lake Richard Mangoustino .
Enzi hizo msanii huyu Richard...
Asalaaam wanajamvini.
Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii.
Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote...
Ndugu zangu wahaya.
WIMBO huu unapendwa sana na WATANZANIA ulikuwa maarufu enzi hizo na mpaka sasa ni maarufu.
1. Naomba history yake.
2.Naomba mashairi yake.
3.Naomba tafsiri yake.
4. Naomba...
FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO.
SISTER P .
Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo...
📖Mhadhara (75)✍️
Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba...
MTUNZI: NYEMO CHILONGANI.
MAHALI: DAR ES SALAAM.
SIMU: 0718 069 269.
NITAKAPOKUFA 1.
Mlango ulisikika ukigongwa kifujo fujo na mzee Kessi ambaye alikuwa ametoka kunywa pombe za kienyeji katika...
Wasalamu,
wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake.
Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana.
Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel...
Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake.
Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa...
Na Lizzy
(Kisa hiki ni cha kutunga, mfanano wowote na watu au matukio halisi ni bahati tu na siyo kusudio langu. Haki zote za kunakili, kuchapa, au kutoa kwa namna yoyote ile iwe ya uchapishaji...
Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece.
1. Jamaa baada ya kuibiwa...
Movie za mapigano Bongo zinakwama wapi asee, naona tumerudi kwenye tamthilia za masimulizi nazo bado stori zile zile unaikumbuka Misukosuko, na Penzi la Misukosuko.
Uliangalia ulikuwa kibanda...
SEASON 1
SEHEMU YA KWANZA
MTUNZI : PATRICK.CK
Ni saa sita za usiku sasa bado jaji Elibariki chukuswa yuko sebuleni akiendelea kupitia kitabu chake cha sheria .Katika meza ndogo kulikuwa na vitabu...
FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI.
LET IT SHINE (2012)
Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones.
Nilianza kumfahamu...
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI
SEASON 1
SEHEMU YA 1
MTUNZI:PATRICK CK
MAWASILIANO :0764294499
DAR ES SALAAM 20/04/2032..
Saa kumi alasiri muda ambao jiji la Dar es salaam...
Habari wana JF?
Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu.
Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi...
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina...
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA"
Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na
ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa
akiimba wimbo wake kwa...