Wakuu huu wimbo Tundu Lissu alijifikiria nini kwenda nao katika kampeni? Kiukweli umenigusa sana hasa hiyo mistari niliyobold ina maana kubwa sana. Tundu una akili sana na napenda unavyojua...
Wanajamvi, nakuja kwenu kutaka msaada kwa wataalamu wa fasihi kuhusu ujumbe uliomo katika wimbo uliotajwa hapo juu. Kiukweli Mrisho Mpoto namkubali sana kwa mashairi yake - tatizo tu sipati ujumbe...
Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S.
Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
habari wakuu,
Kuna series ilikua inaonekana Mambo TV Swahili inatwa The magic box, niliona nao pia channel10 ilikuwepo, nilikua naomba kujua kama kuna website au app ambayo naweza kuangalia au...
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kwa wasikilizaji na wapenda muziki wa Afrika,Mmeuona ujio wa Star Boy Wizkid(Made In Lagos)
Album yake ya MADE IN LAGOS ambayo kwa sasa ni gumzo...
Anaitwa Usain Bolt
Ni mwanariadha, anauwezo wa kukimbia kwa wastani wa mita kumi(10m) kwa sekunde(1sec)
Yaani uwezo wake hukimbia mita 100(100m) kwa mda wa sekunde kumi(10sec) sawa na uwanja mmoja...
Huyu jamaa aliyetengeneza Hii filamu nikiri kamwe hatokuja kutengeneza filamu nyingine tena kama Hii. Kuna GENTLEMAN humo anaitwa john krammer nilimvulia kofia.
Kwanza filamu kiujumla inmhusu...
kuna collabo nyingi nzuri tu ila zipo ambazo kwangu ni nzuri zaidi.
huwa napenda collabo kwani ndani yake utasikia radha na sauti tofauti tofauti....
zifuatazo ni baadhi tu ya collabo hizo...
Naomba nisiwachoshe wakuu, kama mada isemavyo naomba kujua huyu jamaa aliyeimba wimbo wa hip hop uitwao nakupenda hip hop, wa kuitwa Roho 7 yuko wapi siku hizi? Leo nimesikiliza nyimbo yake na...
Nimeangalia wimbo tajwa happ juu kwenye Channel ya EATV nikiwa makini kabisa kujaribu kuelewa ujumbe wa msanii lkn nimetoka kapa kabisa. Jamaa kwa mafumbo ni balaa.
Najua kuna wataalamu wa fasihi...
Niaje wanyakwezi
Moja kwa moja kwenye mada nimekuletea mjadala hapa tufunguke nani mnyama wa mumble na caption lyrics kati ya hao wawili, binafsi kwangu Gunna anajua kuliko Baby , fact zipo...
Album ambayo imesubiliwa sana na mashabiki zake na ilipikwa muda mrefu sana hapa namzungumzia Star Boy Wizkid. Kupitia I.G yake Wizkid anatuambia Mwezi wa 10 anaachia Album kama inavyoonekana hapo...
Huyu mdada aliigiza uhalisia hadi kero.
Ila Hii filamu pamoja na nyingine ya the exorcist ya miaka ya 70 zimenifunza mengi.kwa yeyote aliyeziangalia hizi filamu nikiri haukupoteza muda wako.
Kwa wapenzi wengi wa story book nadha mlighadhabika sana kipind,Kijana mwenye Sauti ya dhahabu Mtiga Abdallah alipofutwa kazi Wasafi Fm.
Mimi nilkua moja ya watu nilio mind sana na nilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.