Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wadau, Netflix huwa wanatoa different contents according to location. Walioko USA hawawezi pata same contents kama aliyepo Tanzania. Kuna show ziko restricted according to location. Nikitumia...
1 Reactions
7 Replies
815 Views
James Bonds pitted against each other in viral videoBy Mike Krumboltz | Movie Talk – 6 hours ago (AP Photo/File)We all know James Bond is unkillable. He's survived explosions, deadly top hats, a...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naombeni majina ya muvi nzuri za kipelelezi zisizochosha kuangalia na stori Moto....
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzuka, Bado najiuliza huyu mwamba wa Country Alan Jackson alinipitaje nisimjue vizuri na kupenda nyimbo zake muda mrefu huo wote? Huyu mwamba ni hatarii Aisee. Ana nyimbo kali sana za country...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mambo vip wakuu, natafta platform, link or club yoyote ya wapiga vyombo vya mziki(Guitar) apa DSM ambayo may be watu hukutana hata once(weekend) kwa week kupractice. Nina Acoustic Guitar ila...
1 Reactions
2 Replies
572 Views
Wakuu naomba kujua vifaa muhimu vya studio ya muziki kwa kuanzia. Natanguliza shukrani!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu wana JF, Hii nyimbo nivute kwako ya Diana Nyange ft Barnaba ni nyimbo nyepesi sana kwa masiko ya kawaida! Lakini kimapenzi huu wimbo una kumbukumbu nyingi sana kwa wengi! Wewe una...
1 Reactions
4 Replies
952 Views
VERSE 1 (Aaaaaaaaaaaah) Naamka asubuhi ni kuchwiri tena mapema Nautoa mkeka sakafuni kisha naukunja vyema Nawaza nitakula nini mentali kisha naguna Naanza kujikongoja kichwa chini mikono nyuma...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi ya kufika naomba kujuzwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kifo ni jambo linaloumiza sana hasa pale unapofiwa na mtu wako wa karibu. Hebu msikilize huyu dogo alivyomuimbia rafiki yake baada ya kufa.
2 Reactions
2 Replies
864 Views
Habari! Kukuza ubora wa league pia hata media zinachangia nafasi kubwa sana. Azam media mmekuwa na poster hazina mvuto, maana ilitakiwa hata mtu ambaye hafatilii mpira akikutana na poster nzuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello, If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs Do you know other good apps?
0 Reactions
1 Replies
795 Views
IMEANDIKWA NA : RICHARD MWAMBE ********************************************************************************* Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho Sehemu Ya Kwanza (1) Maisha yanayotuzunguka yana...
6 Reactions
50 Replies
21K Views
" Muda si Mrefu @rayvanny anenda kuanzisha Lebo yake . Studio yake ndio itakua Studio Kubwa zaidi hapa Tanzania .. Hakuna anaezuiwa kuanzisha Lebo ndani ya @Wcbwasafi_ , hata Drake ana Lebo yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello Everyone, My name is Brian White love to watch movies, recently watched Man in Black 3 movie at my home with my friends. This was so interesting movie, i enjoyed it a lot. Here you...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TURUFU YA MWISHO Aliporejea Tanzania baada ya kuwa nje kwa miaka saba, alikuwa na matumaini makubwa ya kumkuta mdogo wake Celine akiendelea vyema na masomo. Hakuamini baada ya kugundua...
4 Reactions
24 Replies
41K Views
Hii ni series nzuri mno kama we ni mpenzi wa historical (Sageuk). Plot Story inaongelea maisha ya Mwanzilishi wa Taifa la Joseon (Korea). Jang Do Jeon msomi na mwanaharakati katika utawala wa...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Utenzi wa Waliobaki. Subirini huko huko Mlioenda Sisi tuliobaki, kura tutahakiki Wizi hatutaki, uhuni hatubariki Kura ni yetu haki, mashetani hatuwataki Mitandao tutaitumia, habari kuwatumia...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
Back
Top Bottom