Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu kiukweli tukubali tukatae hili ndio song Kali kuliko yote Tanzania kwasasa. Ukilitizama hili song unatamani uendelee kutazama tu.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tokea nimalize kuangalia GOT bado hakuna series iliyo attract my attention Sana mpaka nilipokutana na hii Series. Kisa Ni Black man jamaa anaitwa Atticus alitoka jeshini south Korea, enzi hizo za...
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Mziki wa zamani kwa asilimia kubwa ulifanywa kwa makundi na tumeshuhudia makubndi mengi sana Bongo yaliyohit sana na kusaidia kuusogeza muziki wa Bongo kwa kiasi fulani. Katika kuyakumbuka makundi...
5 Reactions
73 Replies
30K Views
DUKA LA ROHO SEHEMU YA 1. SAA 2:50 ASUBUHI. JIJINI DAR ES SALAAM, MAENEO YA SINZA AFRICA SANA. Wanaonekana watu wawili wakiwa wanafukuzana huku mfukuzaji akiwa kakamata bastola aina ya Baleta...
6 Reactions
180 Replies
49K Views
Kipenda roho, kipenda roho... Kipenda roho, kipenda roho hula nyama mbichi Kipenda roho haoni wala hasikii Akipenda anapenda oh Akipenda hasikii Kipenda roho, kipenda roho... Eeh ni ya nini wee...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu, Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay. Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna kazi nyingi sana za riwaya za kipepelezi ambazo zimetungwa na waandishi mahiri hapa nchini kama Ben Mtobwa n.k hali kadharika riwaya za kawaida kama za maisha. Je ni zipi zaidi zinapendwa na...
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Doh! Washkaji nendeni XXL DJ Sinyorita kakinukisha huko doh! Huyu demu siyo mtu mzuri anapiga mix za kufa mtu yaani alivyonimiksia ile ngoma ya gyptia halafu akagusa roko ya mtaalam tyga aaaahhh...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Tuzo za Billboard mwaka 2020 zimemalizika usiku wa kuamkia leo, Post Malone ameibuka kinara kwa kuondoka na tuzo 9 mkononi. Malone amenyakua vipengele vya; Top Artist, Top Male Artist, Top...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Niko wazo nitawapigia kura wasanii wa ncho yoyote ile ila sio wasanii wa Tanzania. Sana nitawapigia kura wasanii wa Nigeria
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari, Navutiwa sana kupiga mziki hasa kwenye halaiki. Natumia simu na power-mixer huku watu wanapiga mziki kishamba sana. Au telegram channel ambayo inahusisha haya mambo
0 Reactions
4 Replies
860 Views
Huyu the Weeknd ana-sound kama Michael Jackson ukisikiliza hii Starboy,Call out my name,The hills, N.k Ni hatari sana. Justin Bieber mtaalamu wa Sorry,What do you mean,Love youself, n.k Nani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna jamaa alikuwa mwendeshaji wa kipindi cha "HIP HOP BASE"EATV Miaka ya 2007.mwenye kufahamu huyu jamaa yupo wapi?na anafanya nini anijuze tafadhali.
2 Reactions
66 Replies
19K Views
MSALITI ASAKWE - 1 IMEANDIKWA NA : PATRICK J. MASSAWE ******* Simulizi : Msaliti Asakwe Sehemu Ya Kwanza (1) MAJIRA ya saa nane za mchana, walionekana vijana watatu, wakiwa wamekaa upande wa baa...
5 Reactions
19 Replies
42K Views
JULAI 7 story by richard MWAMBE Dunia inakumbwa na wimbi la ugaidi, matukio ya kutisha yanayopoteza maisha ya walio wengi katika pande mbalimbali za dunia ikiwemo Afrika hususan...
2 Reactions
48 Replies
27K Views
MTUNZI Amata Gaimba Sehemu 1 SEHEMU FULANI HUKO AFRIKA MAGAHARIBI MACHO YANGU yalikuwa mazito sana kiasi kwamba iliniwia ngumu kuyafumbua. Haikuwa rahisi kwangu, nilijaribu kutumia nguvu ya...
13 Reactions
290 Replies
66K Views
RIWAYA: HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA MTUNZI: Richard MWAMBE MAHALI: BAGAMOYO SIMU: 0766974865 Riwaya ya kufikirika, itakayokupa taharuki, tafadhalisoma kwa makini ikiwezekana rudia mara kadhaa...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Tanzania kwanza, kura zote kwa Wanaijeria.
1 Reactions
2 Replies
608 Views
Sehemu Ya Kwanza Kwa Majina naitwa Kelvin pia James, Haya ni majina ambayo sikupewa na wazazi wangu Bali nilijibatiza mwenyewe lengo hasa likiwa Ni kujibland wakati najitambulisha mbele za watu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom