Habari wakuu
Naomba msaada kwa mwenye anaweza kuwa na nyimbo (Audio) orijinal za ulbum ya sauti ikatoka ya kwaya ya vijana mabibo anitumie
Hapa au kwa telegram,whatsapp 0764339400
Asanteni
'We Men' ni series mpya ya Kitanzania inayoonyeshwa kwenye Instagram page ya Maxrioba. Maudhui yake ni ya mapenzi (kama kawa). Kwa story nzima mnaweza kwenda kuiangalia huko Instagram...
Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja.
Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita...
Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no...
Wadau nahitaji kujua maana ya yale mashairi yaliyopo kwenye huo wimbo wa huyu mwanadada raia wa Ireland aliouimba nikiri kusema ni moja kati ya NYIMBO BORA DUNIANI iliyowahi kuimbwa.
Leo nimepata nimekuta nyimbo mpya ya Harmonize inaitwa CCM nimeisikiliza nimegundua amekuwa mpuuzi japokuwa anapata pesa Ila nimemtoa maana kwakuwa anatugawa Sasa mashabiki
AUDIO Harmonize CCM...
Hi guy's
Nimeicheki hii TV show mpya ya wasafi TV
Ni kwamba Hatuwezi kusema ni new idea au creativity but Nimeona utofauti fulani.
Watu wanaweza kuifananisha na TV-E show ya homa,au CLOUDS TV...
Habarini wadau,
Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji sana wa ngoma za kitambo mziki ulipoitwa mziki. Muziki wenyewe nnauongelea hapa ni zile ngoma nyeusi, kubum kubam za mbele za miaka ya 1988 mpaka...
Mimi ni bingwa wa kucheki mamovie ya kutisha tisha sana mpaka home walikuwa wakiona nawasha tv au naweka CD watu hukimbia vyumbani.
Asikudanganye mtu hizi movies kuzicheki lazima uwe na two...
SIKU YANGU YA KUFA ILIPITA.
Na, Robert Heriel
Siku ile SIRIEL ndiye Huyo mficha Siri za mungu alinijia nyakati za usiku nikiwa nimelala, alikuja kama ndoto usingizini, nami sikujua yakuwa...
Salaam Wakuu,
Kwa wale wapenzi wa nyimbo zenye mahadhi ya reggae na riddim lazima mtakua mnawafahamu hawa jamaa wanaoitwa Morgan Heritage. Jamaa hawa ambao ni ndugu wa tumbo moja waliunda kundi...
Nakuleteeni swali, wajuzi wa maarifa,
Mlojaliwa akili, na bongo zisizokufa,
Muwezao ona mbali, naombeni maarifa,
Mapenzi ni kitu gani?
Mapenzi ni kitu gani, swali langu nauliza,
Kwani...
TUTAFIKA SALAMA MKE WANGU.
Na, Robert Heriel
Miaka ilienda nayo haikurudi, muda ukapita wala hatukuuona tena. Ahadi nilizomuahidi sasa aliziona ni ndoto ya mchana. Ndoto za alinacha kamwe...
1.Alianza mwaarabu,kutafuta mali zetu
Kupitia marikebu,akafika pwani zetu
aliwakuta mababu,wakinena lugha zetu
Mzungu na mwaarabu,mbaya wetu ni nani?
2. Akauza zake shanga,vikombe na mabirika...
Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake.
Kwa mwenye...
Habari wapenzi wa movie za Hollywood, Nitajieni movie nzuri.
Genre: Action /Detective / Adventure /Mystery /Sci-fi /Disasters /Wars / Crime
Zile nzuri kabisa kwanzia mwaka 2005 - present
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.