Baada ya sifa nyingi nikaamua kulipia wasafi ili nione nini kipya
Dah! Target yangu ilikua nianze na kipindi cha BIG SUNDAY LIVE.. nimesikitishwa sana kwa tv chanel inayosifiwa sana na vijana...
Habarini wakuu, nitakuwa hapa kuwaletea simulizi hii "Niacheni nikufuru" mpaka pale itakapoisha. Yote itaishia hapahapa Jukwaani.
Kila siku nitakuwa naachia kipande kimoja kulingana na maelekezo...
Habari zenu wakuu naomba msaada wa beat ya wimbo huu wa y-tjukuta ulioimbwa na kikundi cha uhuru toka SA. Nimejaribu kuutafuta mtandao lakini sijafanikiwa, ntashukuru endapo nikiupata
Waandishi wa filamu walikuwa na vionjo vyao katika maisha ya mateso ambayo mtazamaji anaweza jikuta anamwaga machozi wakati anaangalia filamu.
Hali hii ilikuwepo hata Tanzania kipindi filamu...
Movie hii inaitwa "Cannibal Holocaust" Itafute
Ni movie yenye kutisha mno na matukio yake yakiwa kama yana ukweli ndani yake. Baada ya movie hii kutoka Director wa movie hii alikamatwa na...
Hizi chanell hapo chini nimeangalia video zao zote walizo upload
1.just4laugh gags
Hawa ndiyo wa Kali wa zile prank dunia nzima hakuna Kama Hawa
2.Drew Binsky,
Hii ni travel vlog huyu jamaa...
Unapozungumzia ulimwengu wa burudani basi industry ya filamu imetutendea haki sisi ambao ni movie goers.
Hivyo basi kuna watu wamejaaliwa katika kuunda script za story hadi inatengenezwa movie...
Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya.
Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu,
Nikiwa nipo home...
Kama unataka kuskiliza wimbo utakaokutoa stress either za kutemwa na pisi yako au kudaiwa kodi, ama ada ya shule ya mtoto tarehe 29 ..
Basi tafuta huu wimbo.
Ibrahnation -naamini.
Thank me later...
Wasalam....
Huu mziki nimeanza ufuatilia kitambo sana na nimetokea kuukubali sana. Huwa nazielewa sana zile Booming Basses(808).
Baadhi ya midundo ninayoikubali ni hii hapa.
1. Meek Mill -...
Moja kati ya Tv Show tamu sana kwa wakati huu, jamaa wamecheza.
The Oval pia nasikia iko sawa ila sijabahatika kuipakua. Yeyote mwenye utaalamu rahisi wa namna ya kupakua HD Series I mean it HD...
Wadau habarini za saa hii,
kuna wimbo fulani nimekua nikiutafuta kwa muda mrefu YouTube bila mafanikio kutokana na kwamba sifahamu jina la wimbo huo ila naifahamu baadhi ya mashairi yake.
Wimbo...
Tukiachilia mbali mafanikio mwanamuziki pekee hasa katika hiphop ambae hajawai kuchuja ni Mr Blue. Huyu jamaa ni noma anajua anachofanya na ukijaribu kumshirikisha kakufunika mfano ule mwimbo...
WCB napenda kama zote hivi ila chache za Lavalava. Queen Darleen zizijui kabisa nisiwe muongo.
Usiende Mbali by Juliana Kanyomozi
Posa ya Bolingo by Alicios Theluji
Mpita Njia by Alicios na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.