We unadhani nani mkali ? Ni kazi gani za hawa jamaa zinakuvutia? Hawa ma legend ni kati ya binadamu wachache sana ambao wameingia kwenye kumbukumbu za dunia kwa vizazi vya sasa na vingi vijavyo...
Hawa wana wanajua haswaa! Acha tuwape sifa zao! Asiyekubali ni mchawi,tena mwanga, tena yule mwanga anayewanga mchana[emoji851].
Hili goma ukilisikiliza linatoa mikosi yote, linaponya mapunye...
Huu wimbo mpka Mh.Magufuli alipimgia simu Mwana FA kwa mashairi yake..
Chorus
"We ni dume suruali kaa mbali nami,mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami,mbali...
Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa.
Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu.
IDENTITY ya 2003...
Habari wana jamii forum.
Kiukweli hili halina ubishi wakuu.
Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika.
Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo...
SIKU NIKIPATA DEMU.
Nasema kinywa kipana , sasa nihofie nini,
Tena nasema kwa vina, kweli kutoka moyoni,
Maneno yatapangana , nitanadi hadharani,
Siku nikipata demu , ulimwengu utajua
Mbona...
Mfano ;-
1. Mungu Ibariki TANZANIA
2. Tanzania Tanzania Nakupenda
3. Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri
4. Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge na Kuuweka KILIMANJARO
Nani anajua historia ya hizi...
Hawa jamaa wakuitwa Sauti Sol ni hatari. Nasikiliza hii ngoma wakiwa na BurnaBoy inaitwa Afrikan Star ni hatari. Good Melody,Lyrics,Beats Etc.🔥🔥
Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa...
Wapendwa hivi shalo tina tina maana yake nini?
Nimekuwa nikisikia haka ka msemo bila kufanikiwa kujua maana yake. Maeneo nilipo sikia ninapokumbuka ni kwenye baadhi ya mashairi ya nyimbo za...
Weekend tulivu, Mwalimu John kapozi zake Huku akifuafua vijisarawili vyake viwili vitatu kuisindikiza. Akiwa bize kufua na kule simu inaita, kuitazama Namba ngeni. Anaipokea taratibu sauti...
Nimetengeneza game nakuliweka Play Store, ni game gumu kwa atakayeweza fika kuanzia level ya 3 na kuendelea atume screenshot. [emoji23]
Liko Play Store only, search Pixelpunk
Pixelpunk - Cyberpunk...
KIONJO!
Kweli nimeamini kuwa asali haionjwi, ni lazima utarudia tu kuionja mpaka utakapo imaliza yote na katika harakati za kuisaka asali iliyo bora ujiandae kung’atwa na nyuki.
Hayo ndiyo...
LA Casa De Papel ndio jina la huu mzigo. Ulianza kwenda hewani mapema mwaka 2017 ila binafsi nilichelewa kuudaka mpaka mwishoni mwishoni mwaka jana(2018!)
Kiukweli ni moja kati ya TV Shows ambazo...
Nimetazama the queen of the south, nacos seal pia. ya Naomba series nyingine nje ya hizi lakini zinazoendana na hizi.
Pia kama kuna mtu anajua series zenye hadhi ya game of thrones au spartacus...
Hizi nyimbo zote ni mpya, na zina mahadhi yanayofanana...
Dodo iliachiwa jana chini ya Kings music na Wana imeachiwa leo chini ya Wasafi label
Kwa mtazamo wako upi wimbo ni mkali kuliko mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.