Kuna vitu vingine vinafurahisha sana endapo wewe unampa sapoti Diamond.
Mfano: Akijaza uwanja roho inafurahi.
Huko Kigoma kaweka rekodi tangu Uhuru kwa kujaza nyomi; na hii ni mapokezi tu, roho...
Wakuu nipo wilaya ya Kasulu muda huu eneo moja wanapaita Kitagata, asee watu wa hili eneo/kijiji wote wanazungumza kuhusu diamond plutnumz.... haswa kwenda Kigoma mjini kumshuhudia
...najiuliza...
Labda hakuna wapiganaji wala uchoraji wa fantasasi huchea mawazo ya wasikilizaji kama Filamu bora juu ya wachawi na wachawi. Hii haishangazi, kwa sababu watu wakati wote wanapendezwa na nguvu za...
Haya ni maoni yangu tu jamani kama unabisha weka nyimbo yako hapa iliyozidi hii kwa ukali
Innoss'b ~ Diamond Platnumz
Sent using Jamii Forums mobile app
Msanii Chidi Benzi asikitishwa na dau alilotaka kupewa na Efm kwa ajili ya ku-perfom show yao ya Mziki Mnene.
Walimpigia simu wakimwomba akaimbe kwa malipo ya elfu 50, kwa ahadi kwamba watampa...
Kabla hujasoma Riwaya hii Nzuri na tamu niweke wazi hapa mimi sio muandishi wa hii riwaya na wala sijawahi kuandika hii riwaya hata neno moja.Pia nitoe angalizo iwapo mwandishi asipomalizia...
Nkiwa kama moja ya wapenzi wakubwa wa kipindi cha XXL ya Clouds nlimsikia B Dozen akisema Nandy ni msanii aliyeongoza album yake ya the African Princess kuwa streamed Boomplay, kitu ambacho ni...
Wanajamii wenzangu,
Naomba mnisaidie kuutambua wimbo, siujui jina but inadaiwa ameimba Mwafrika, sijui nchi gani hapa Afrika but Wahindi wameuiga kwenye movie inaitwa Gupt (wimbo unaitwa jina la...
Tukiwa tunaelekea kumaliza muongo mmoja, haya ndiyo maoni yangu kuhusu wasanii bora zaidi wa muziki katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
1. Diamond Platnumz
There is no competition to the...
Tukiwa tumebakiwa na siku 21 kufunga mwaka huu. Wadau wa sector ya burudani tupeane play least zetu za mwaka huu unaoisha.
Zangu:[emoji116]
1. Yope rmx - Inoss B ft Diamond
2.No guidance - Chris...
Alafu mtu bado analeta ubishi na ushabiki usio na maana!
Jamani Tukubali tu kwamba Diamond kwa sasa ni level nyingine. Wengine nyie endeleeni na shows za huko matombo na.k
Sent using Jamii...
Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani.
Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi...
Mkali kuwahi kufanya hii kazi , nani haijui matawi ya juu,nani hajui gangster na ngoma hits kibao. Fanya unadrop mistari kwa heshima ya mshkaji. Jamaa ana punch kibao za hatari mfano "ukiniona...
Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa.
Movie ilitoka 2009. Binafsi...
Former world boxing champion Khanand his fiancee Faryal Makhdoom, 28, were joined by daughters Lamaisah, five, and Alanya, one, in the cute pic.
Wearing matching pyjamas, each family member...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.