Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Issue ya Diamond Platnumz kuitangaza Pepsi linanifikirisha sana kwamba pepsi na Diamond nani maarufu kiasi cha kumtangaza mwenzake
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Msaada, natafuta wimbo wa gwiji la Slow Jams R-Kelly unaitwa Trapped in the closet,wote,ni mrefu wa kama nusu saa, mwenye nao naomba. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The star, whose real name is Sean Combs, was joined on Saturday night by some seriously rich pals worth a combined £2.2billion. Sean, himself worth £555m, hit the milestone on November 4 but...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Mfano huu. Santiago Santiago x 2. Chiiile. Santiago Santiago x2 Chile. Tunakwenda Santiago tunarudi Chile Chile. Wakongwe huu wimbo ulianzia wapi?...zipo nyingi. Kama Zimbabwe huu tuseme ni...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Hellow Tanzania, Hellow JF. Naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hawa wanaojiita/kuitwa majaji wa BSS. Mimi siyo mtazamaji sana wa mashindano hili ila mara kadhaa huwa naona video clip za washiriki...
19 Reactions
38 Replies
6K Views
Clouds hawajawahi kubahatisha Tigo Fiesta DSM kufanyika Uwanja wa Taifa tarehe 8. Kiingilio ni sh. 3000 na getini 5000, hiki ni kiingilio cha kimwananchi kabisa. Ukikosa shauri yako Clouds FM...
9 Reactions
318 Replies
28K Views
Huyu jamaa naweza kusema ni Roma wa Kenya, siku 3 viewers 1.3M kwa mwana hiphop haijatokea hapa Afrika Mashariki. Tumezoea kuona pigo hili kwa kina Mondi na Kiba wasanii ambao wanaimba. Ni msanii...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
HAPO kale, akaanza Waziri Mkuu, paliondokea mkulima mmoja tajiri aliyekuwa na kundi la wanyma wa kila namna na aliyejaaliwa kujua lugha zao. Hakuna aliyejua siri hiyo kwani ali￾yemfundisha...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Tukumbushane kidogo. Kibao hiki cha Uswahilini Matola(Kosa la marehemu) kiwafikie mabaharia wote,hasa wale wa kula tunda kumasihara, punguzeni speed,upepo ni mkali,mtaangusha magari. Punguzeni...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimekua mshabiki wa rumba kwa muda mrefu,nilipenda nyimbo za Congo hasa zile za zamani kidogo kuliko za sasa.Hawa magwiji wawili ndio walinivutia kuipenda rumba,nina album nzima ya madilu system...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
HIS Instagram feed is a littered with snaps of exotic holidays on private jets, custom-made sports cars and watches worth more than £350,000. But despite being worth £35million and living a life...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa jamaa niliwahafamu mwaka 2018 kupitia movie yao Kali mno inayoitwa #tatuchafu Nikaangalia nyingine inaitwa #Fisiweusi[emoji2][emoji2][emoji2] Nikazidi kuwakubali,nikaingia YouTube nikakuta...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi wanajamii. Kuna mambo mengi sana ya kuiga hapa duniani lakini kuna mengine siyo ya kuiga kabisa kama jambo ambalo amefanya Mr Blue kuvaa mavazi ya kinazi kwenye video ya music...
7 Reactions
98 Replies
11K Views
Simaro Massiya Lutumba Ndomanueno aliongoza Bendi ya TP Ok Jazz baada ya Franco Luambo Makiadi kufariki 1989 na baadae kuwa na bendi yake ya Bana OK 1991. Amefariki Paris Ufaransa alipo kuwa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni moja ya makundi ya muziki ambayo mi hupenda sikiliza hasa weekend. Mara Jumapili kama hii nasikiliza nyimbo za utulivu sana zikiwemo Country, Jazz na Rhumba. Sielewi maana ya nyimbo za TP Ok...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Ukiangalia timu hizi hapo zimekua za kawaida sana zinafungika kiraisi sana na timu ndogo hazina wachezaji classy zipo zipo tu
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Mambo vipi wana JF Mimi kwa sasa naishi kwenye jimbo la marekani linaloitwa West Virginia na nimetokea kuwa na marafiki ambao wanapenda kwenda outdoors adventures or hiking kwenye water falls...
0 Reactions
3 Replies
728 Views
Kati ya KENDRICK LAMAR na DRAKE unamkubali nani zaidi katika Hip Hop?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom