Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji wa redio hii hasa wa vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na Amplifier. Hii ni wiki kama ya tatu redio hii haisikiki Morogoro na hakuna taarifa yoyote.
Jamani...
Tovuti 13 kwa ajili ya Movie Streaming bure.
Zitafute hizi kwenye Google:
1. Popcornfix
2. MovieNoLimit
3. Hotstar
4. Viewster
5. Snagfilms
6. TubiTV
7. Vudu Movies
8. Crackle
9. Yidio
10...
Wadau wa jukwaa hili wasalaam,
Mimi ni miongoni mwa watu wanaopenda sana muziki wa harakati, ingawa sisi wapenzi wasikilizaji tunapata burudani ila wasanii husika wamekuwa wakipata changamoto za...
Niko ground hapa uwanja haujajaa, pia majukwaa yako tupu. Nilijua bei ikiwa ndogo ingevuta watu wengi.
Hii inapelekea mpaka sasa hawarushi live matangazo yao kwenye Tv. Hata Millard Ayo camera...
Tuache unafiki Jana Nay wa Mitego na Konde Boy wamemfunika vilivyo Ali Kiba
Nyimbo zote alizoimba Nay wa Mitego ziliibua shangwe za ajabu kuliko wasanii wote waliopanda jukwa la Fiesta. Kama ile...
LEO Hii December 8, 2019
Katk ulimwengu wa burudani kuna rumos nying zime tanda kwenye mitandao tofauti ya kijamii
Juu ya kifo cha rapper Jarad Anthony Higgins Maarufu kama JUICE WRLD...
Habari!
Binafsi napenda sana aina hii ya music. Huu uzi uwe maalumu kwa kutupia nyimbo zenye mahadhi/maudhui kama haya.
Kama vile;
1. Alan Walker_Faded
2. Chris Brown_Don't wake me up
3. Owl...
Oya wazee JF, mmesusia tamasha la Tigo Fiesta!
Sioni mjadala kuhusu show ya jana, niko hapa kazini namuuliza workmate wangu kama show ilifanyika au la, amenijibu kuwa show ilifanyika tena kwa...
Kawaida mjini ni mipango na kila mtu anaishi mjini kwa mahesabu yake anayoona yako sahihi,,
Nilipotimiza miaka 19 nilitamani kuoa kwa kuwa niliamini ili kupata mafanikio zaidi ni lazima niowe ila...
Wakuu hivi clouds media waliwakosea nini wananchi?
Leo tarehe 8 decemba ni siku ya tukio kubwa kiburudani hapa nchi ambalo huambatana na shamrashamra kama zote, kwa awamu hii hali ni tofauti...
Naangalia Fiesta Live on Clouds Plus. Wana matangazo live toka stadiu na interview za studio.
Kuna huyu mdau mdau wa clouds wa sanas kaamua kutupia "Trump is My President". Kwa kuchagua hiyo...
Kabla ya kukata tickets mnaonekana wa muhimu baada ya hapo mnakuwa maboya. Yaani huko kwenye entrance points tunafanywa kama wanyama, hakuna ubinadamu, ni kusukumwa tu na wapuuzi flani ambao...
Hawa walioandaa hili tamasha la "Free Esther" wanaishiwa ubunifu kwa kasi ya moto wa nyikani.
It doesn't make sense wao kutumia slogans kama "Uhuru wa Burudani" at the same time wameipiga ban...
Hawa jamaa wote wana balaa zito kazi zao recently ni kama ifuatavyo.
Hanscana
-Harmonize (kushoto kulia & Uno)
Kenny
-Diamond (sound)
-Jux ( sugua)
Kwa kuangalia ubora wa kazi zao nani...
You again (2019).
Cast: Mimi mars, Nick Mutuma, Amalie Chopetta, Moriss Mwangi, na wengine wengi.
Director: Nick Mutuma & Natasha Likiman
Uchambuzi:
Hizi ni moja kati ya zile wanaita romantic...
Nadhani kichwa kinasomeka vyema.
Haya mi naanza na hawa wawili
1. JUMA NATURE - Ikumbukwe huyu anayo ile ya channel O pekee, licha ya ukubwa na ngoma kali zote unazozijua ameshiriki kwa namna...
1. Sheebah Karungi [emoji1254] Uganda
2. Joeboy [emoji1184] Nigeria
3. Brian Nadra [emoji1139] Kenya
4. Innoss'B [emoji1078] DR Congo
5. Sho Madjozi [emoji1221] Afrika Kusini
HT: BBC
Watanzania...
Wadau mko poa? sasa kuna blog moja inaitwa MIDDLE SIMBA kule U-tube, katika utoaji wake wa habari au uchambuzi mbali mbali huwa kuna wimbo mtamu wa english unapigwa kwa mbali kama background song...
Aisee, huyu bidada sijui ni ushamba wa kuona wezere OG ama nini! Night club hakuna asiyejua yanayofanyika huko. Lakini kuwarekodi hao waafrika wenzetu kisha kuwaanika kweny insta stori yake sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.