Hi ngoma nimeikubali ile mbaya imewakutanisha wasanii wakali na kimetoka kitu kikali. Rayvanny kapiga corus nzuri as usual, Nyandu Tozzy katupia mistari kutu alafu akamaliza mtu mbaya Mr Blue...
Achana na Wizkid,Davido,BurnaBoy,Tecon,Yemi Alade,Tiwa Savage N.k
Mashine 3 zinazokuja ku-Save Mziki wa Nigeria.
1.Joeboy
Ukimsikiliza vizuri kama unamuona Tecno ndani yake hitmaker wa ngoma...
Kama umezitizama movie za john wick utakubaliana na mim ni moja kati ya movie zenye action za kibabe sana..pigo zilizotumika huko ni balaa sana
Tupia movie nyingine zinazoendana kimapigo na...
Hawa Jamaa kila ' Promo ' yako lazima itakuwa na Kishindo Kikubwa. Hongera sana Kwao Clouds Media Group kwani inaonyesha kuwa wana Vichwa hatari katika Masuala mazima ya ' Promo ' na sishangai...
Pambano la Hassan Mwakinyo Vs Tinampay kutoka Filipino bado lile pambano lipo akilini Kwangu.
Infact niliacha kutazama TV Round ya Nane baada ya kuona hali ngumu upande wetu nikaenda kulala...
Wapi unaiweka karata yako ( Joshua vs Ruiz, Dec 7th. The Clash of the Dûnes)? Haitokuwa kazi rahisi. Kwani wote wako fiti mnooo.. Ila pambano hili Ruiz anaingia na confidence wakati Joshua...
BADO NAKUPENDA SANA:08 aliendelea kupiga huku akinikera kwani ile simu yake ilipokua ikiingia niliisikia milio masikioni kwangu, lakini sikujali niliendelea kuongea na Hansy tena kwa amani zote...
BADO NAKUPENDA SANA:07
ili nipoteze muda, nikakuta voice note yaani ujumbe wa sauti kutoka kwa aliyekuwa mpenzi wangu "usinifanyie hivyo mama sahau yaliyopita au nikopeshe basi. "Safari hii...
BADO NAKUPENDA SANA :06
anafanya mishe gani maana alikuwa hashauriki kifupi mtu wa kuchagua kazi,
Nilipokuwa sijamjibu alisema "mama, umeninunia mwanao, Nisamehe basi na wewe siunajua mimi...
BADO NAKUPENDA SANA :05
Sikutaka kubishana sana na Hansy, nilikubali na kwakuwa nilikuwa nimechoka sana ilinibidi niage, nilitembea hatua chache akaniita kwa unyonge "Ney. " Nami nilisimama na...
Najaribu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finaly, what I see jamaa bado wana long way to go.
Kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old...
Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki.
Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu.
Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe.
Hivi...
Wimbo maalumu kwa wapendanao. Mtag yoyote umpendae hapa. Wa kwangu nita mtag mwishoni kabisa mwa comments zote
I Love You – Rayvanny Lyrics, Letra:
Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
Machozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.