Tanzania yapata Mwanamuziki Mpya.
Hayo yametokea hivi karibuni baada ya Mwanamziki huyo Paw Sixs wa miondoko ya Pop kuachilia kibao chake cha "Ooh"
Sasa unaweza kusikiliza kibao chake
Wadau,habari za mida hii.
Kama heading inavyosomeka, mwenye kuifahamu application ya kupakua nyimbo yoyote kwenye simu anijuze.
Mwanzoni nilikua natumia maas4tube kupakua nyimbo yoyote,kwa Sasa...
Kichwa cha habari chajieleza jamani hii kitu niliiona muda sana natamani nirudie tena kuiona. Naomba mwenye nayo anisaidie au mnijulishe wapi naweza kuipakua. Nipo Dsm
Asanteni.
Amani iwe nanyi.
Huyu mwamba kutoka Umakondeni kaachia ngoma mpya kwa jina la Kushoto Kulia.
Lakini baada ya ngoma hiyo kuisikiliza, nimesikitika kidogo. Ni ngoma nyepesi sana aisee.
Ni bora tu...
SEHEMU YA TATU
THE GIRLS IN ISLAND 03
Kwakua alitambua kuwa malikia huyo hutumia muda mwingi katika hilo tendo. Walipoingia tu uwanjani, aliyatumia masaa matatu kumchezea malikia huyo...
SEHEMU YA PILI
THE GIRLS IN ISLAND 02
Hawakujua waanzie wapi na watokee wapi kutokana na umbali mrefu waliotembea mpaka kufika pale. Hata hivyo hawakufika mbali, mwenzao alidondoka na...
SEHEMU YA KWANZA
THE GIRLS IN ISLAND SEASON 1
Mnamo mwaka 1963 mwanasayansi mtafiti Mc Donald Gareen kutoka nchini Marekani, aliandika kitabu cha maajabu ya dunia baada ya kuandika habari ya...
Habari wana JF,uzi huu ni special kwa kutumiana nyimbo za enzi izo,iwe hip hop r&b n.k...wengi tunajuwa kuwa vya kale ni dhahabu(OLD IS GOLD),basi tusaidiane kupata vionjo vya enzi hizo kwa...
Hivi kwanini huu wimbo haukuHit? Beats ni balaa
I used to have a crush on Steve kafire alivyokua anatangaza East Africa Top 10. Nilikuwa natuma message anasoma basi nasikia raaha
Ikiwa wewe ni mtazamaji SABC, jua ya kuwa tamthiliya ya Isidingo the need imeshatolewa. Generations: The Legacy imechukua nafasi.
Filamu yenu, imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa
====
It’s...
Morning forum team,
Nipo nakula burudani za Kale.
Malejendari wa hii gemu leo nawaenzi kwa playlist hii.
Mchumba- H-mbizo
Ni soo. Pasha
Simba wa Africa-Gk
Niaje Domo-kaya na nature
Binadamu Ay...
Mwanamziki kutoka label ya WCB Rayvanny Boy a.k.a Sauti ya Vanilla na director Kenny kutoka Zoom Production chini ya WCB, wameshinda tuzo ya AFRIMMA AWARD.
Rayvanny amechukua Video Bora of the...
Licha ya mara nyingi sana Bwana Chibu amekua akishutumiwa kuiba ama kukopi nyimbo za wasanii wengine kitu ambacho ni kosa la haki miliki, je kwanini haijawahi tokea waibiwaji wakalalamika au...
Marhaba, marhaba.
Kama kichwa kilivyotambulishwa hapo juu.
Huyu kijana wa Kimakonde "Harmonize" naona anasumbuliwa na nadharia ya kuwa, kujitoa kwake Wasafi ni kama kuachana na muziki wa kale na...
Huu ni wimbo upo kwenye album ya Stanley enow track number 13 ambayo amemshirikisha kijana kutoka Tanzania na msanii mwingine anaitwa Ariel sheney.stanley enow ni msanii mkubwa kutoka nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.