Mimi naamini kwamba katika nchi iliyojaaliwa vipaji vya kila aina basi nchi yetu ya Tanzania nayo imo, tena top ten. Kuanzia mziki, actor's wazuri wa film nk. Lakini kitu kikubwa tunachoshindwa ni...
Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.
Kwa wanao mfahamu huyu msanii ni moja kati ya wasanii walio chora tatoo nyingi sana mwilini mwake. Haya sasa inasemekana zimeanza kumpa shida anatia huruma. Aisee acheni kabisa.
Ilikuwa asubuhi nzuri sana iliyojaa uchangamfu wa aina yake. Hali ya hewa ilikua rafiki kwa kila mtu, mawingu mazito yalitanda anga zima la jiji la Dar es salaam na kulimeza jua lililokua kero kwa...
MTUNZI: IRENE MWAMFUPE NDAUKA
SEHEMU YA 01
Jumapili moja baada ya kula chakula cha usiku, baba mzazi wa kijana Nelson ambaye wengi walipenda kukatisha jina lake na kumwita Nelly, Mzee Reli ya...
Huyu kijana kutokea kigamboni, ambaye ni mshiriki wa Bango Star Search (BSS) anakipaji sana, yaaani kauimba wimbo huu kwa uhalisia sana pamoja na heshima yake kwa majaji namuombea tu afike mbali.
Gospel ime-move on sana. Kutoka kuvaa redimedi, skirt za kaniki na kuvalia nguo zinazofunika mpaka visigino mpaka kutupia vitop, suruali za kubana na skirts kali zinazoushikilia mwili haswa!
Enzi...
Mtunzi: Washawasha
Ilikuwa ni jumamosi moja tulivu,nikiwa nimetulia mjengoni naangalia match ya man utd ambayo nayo alipigwa na kuzidi kutuchanganya sisi mashabiki wake wa kuvuta kwa manati...
Katika wimbo wake mpya unaoitwa Nakaza roho, Ferooz ametapika sana nyongo! Kikubwa kasikitishwa na ndugu zake wa karibu Prof J na Chege kumtenga na kutotaka hata kumsikia.
Ameenda mbali zaidi na...
Kwa muda mrefu nilikuwa napenda kusikiliza kipindi cha "Je Wajua?" cha RFA ambacho kinarushwa Jumapili saa 9:30am (sijui kama bado kinarushwa). Nilikuwa nafurahia habari za kushangaza na kusisimua...
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani.
Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma".
Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema...
Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy...
Habari wakuu,
Kuna kijana anaitwa Hamisi ,alikuwepo kwenye mashindano ya BSS. Ni kijana ambaye kwa muda mfupi watu wamempenda sana. Lakini kwa sasa ameondolewa kwenye mashindano hayo.
Naombeni...
Amani iwe nanyi.
Wakuu, huwa najiuliza sana kuhusu hili tamasha la Mziki Mnene ni nini. Sijawahi kuona viingilio vikitangazwa wala wadhamini wa Mziki Mnene, ila huwa naona tu wanaenda sanaa...
Habarini wana JF kuna wimbo mmoja hivi nlivokua mdogo nlikua nauskia na nautafuta sana una lines kama hizi..
Haya maisha nayoishi mimi , yananichanganya saana sijui niendapo wala nitokapo nini...
Ulikuwa ni wimbo wa miaka ya 2006 hivi, sikumbuki jina lake wala aliyeuimba, ila una bit flan nzur, na kati kati ya wimbo kuna maneno:
Daily unanipa promise tutananilii kesho, unaishia kunipa...
kitendo cha huyu jamaa kuhamia kwenye kutiririka mi sikielewi kabisa, au ndo muziki wenyewe huu wa sasa ...wauonaje wimbo wake huu Ferooz ft Shaz Dear - Ndege Mtini | Muziki.net ?tiririka........
Habari zenu wadau. Kuna mtu ana nyimbo za Shari Martini (Tana River gospel singers); Msanii wa gospel music toka Kenya.
Kama kuna mtu anazo naomba anisaidie!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.