Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Anayejua page nzuri instagram za kuburudisha ashere namm atleast page 3 kali nje na ndani ya tz.mi napendelea 1.blessednjugush 2.shishiboyog 3.Liverpoolfc
2 Reactions
40 Replies
8K Views
Msema Ukweli mpenz wa Mungu bila kupepesa macho WCB can't stop Harmonize, hii ngoma mpya ya moto sana. Give credit when due...DOGO ANAPAMBANA....
8 Reactions
44 Replies
7K Views
Katika vipindi ambayo naviona vinazidi kuwa bora katika runinga ya cloudplus ni kipindi cha mtazamo. Nafurahia maudhui ya kipindi kwani yanaelimisha na kuhabarisha. Na haswa wanavyowaaliaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nasema haya baada ya siku mbili hivi kutoka kwa ngoma kali sana za wasanii wachanga ama unaweza kuwaita wadogo, wasaniii wenye uwezo halisi wa kutengeneza muziki na mashairi yalioshiba. Wanaopenda...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Aiseee!! hatari sana huu mchuano wa sasa je wewe kwako nyimbo gani ni bora? Mimi baba lao ndo habari ya mjini. Wengine hao wasindikizaji.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu wa JF, nina swali na naomba niliwasilishe kwenu. Kila wakati nikicheki majukwaa makubwa ya burudani husasani ya muziki huwa kuna ule moshi unapitapita sa nauliza uwa una maana gani? "swali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
[emoji116][emoji116] Bazairwa maman Bosomba abacos na Arzoni Bosomba abacos na Arzoni Motongi monene ya Mpoto *Wazaire(wacongo) mamaa* Kanunueni suti kwa Azoni Kanunueni suti kwa Azoni *Mshonaji...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Zimekuwepo lawama nyingi sana dhidi ya maDJ wa redio kutopiga muziki wa dansi na kupendelea bongofleva. Sasa mimi nawaambia acheni kulalamika fanyieni kazi maoni yetu wapenzi wa muziki wa dansi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
*TAFSIRI LINGALA KWA KISWAHILI* Banga makambo oh Nga na bangi makambo Bapekisi nga makasi Nakeba bandeko Ogopa matatizo oh Mimi nimeogopa matatizo Wamenikataza Naepuka ndugu zangu Noki natika...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
1) Massu tozalaki kotambola eh. Tozalaki misato na groupe. Toyebanaki manso ya mokili. Tokabwanaki po na nini eh. Matongi elekaki biso mbeka eh. 1).masu tulikuwa tukitembea pamoja eh tulikuwa...
1 Reactions
0 Replies
780 Views
Ni bahati mbaya sana watanzania hatupendi kukumbuka au kuenzi kazi za wasanii wetu.leo naonyesha mfano kwa kumkumbuka msanii aliyewahi kuwa maarufu JUMA NATURE haswa katika album yake ya UGALI...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Ni usiku wa manane, Diamond yupo chumbani kwake, alikuwa amechoka, usingizi haumpati kwa sababu anaifikiria safari yake atakayoianza kesho kuelekea kwenye matamasha yake nchini Marekani. Kichwani...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Billboards Charts, wametoa list ya Album bora 100 za muongo wa 2010-2019. Na at the top ni Album ya Kanye Omary west My Beautiful Dark Twisted Fantasy (2010). Disclaimer: Binafsi mimi mwenyewe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za saizi wakuuu Kwa mtazamo wangu na kwanilivyo mskiza vizuri huyu kijana hamisi ndo mshindi wangu wa mwaka huu BSS. Anajua kupiga guitar na kuimba anajua. [emoji116][emoji116][emoji116]Video
10 Reactions
52 Replies
8K Views
N
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Mwezi uliopita kabla ya tarehe 16 mmenitumia sms kwamba nikilipa kifurushi cha compact+ mapema kabla hakijaisha nitapata ofa ya Chanel za premium kwa muda wa siku 30 bure. Kifurushi kilikuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi everyone in here, Kuna siku kwenye college yetu kulikuwa na concert, miongoni mwa wanamziki waliokuja ni the legend Dr. Dre. Baadae baada ya tamasha, nilipata fursa ya kukutana nakuongea naye...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu kama unakipaji cha kufanya stand up comedy au kuna mtu unamfahamu na ni mbunifu anaweza kufanya punchline kali basi niPM. Soon nakuja na hii kitu na tayari nimeshaweka miundombinu including...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Hapa alikuwa akihojiana na radio citizen ya Kenya, Sikiliza hii sababu ya huyu kijana kuufuta wimbo wa Uno kwenye YouTube. 1. naona kama kiki 2. sababu ingine ukimsikiliza mpaka mwisho utagundua...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Email. nipenguvu@gmail.com Instagram. nipenguvu “Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa...
4 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom