Na:
Mdharuba J.K.
*SEHEMU YA KWANZA*
★★★★★★★★★★★★★★★★★
“Nashindwa kuelewa kwa nini nakupenda kiasi hiki Jay, nahisi kuchanganyikiwa juu ya penzi lako my” Jacqueline alisema maneno haya huku...
Kuna albamu na nyimbo nyingi sana za kikatoliki, lakini kati ya zote, hakuna albamu ninayo ikubali kama albamu hii iliyotoka mwanzoni mwa miaka ya tisini yenye jina MIMI...
Marehemu Hemed Maneti alirekodi kibao hiki jijini Nairobi mwaka 1981 akishirikiana na mwanamuziki Mtanzania aliyekuwa na makao yake katika jiji hilo wakati huo, marehemu Charles Ray Kasembe...
Mtunzi Juma Hiza 01
ILIKUWA ni siku ya Desemba 23, tena siku mbili tu kabla ya Christmas, dunia nzima ilijawa na shamrashamra za Sikukuu hiyo ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, maduka mengi jijini Dar...
Shalom watu wa Mungu!
Natafuta wimbo wa Rev.Cosmas Chidumule uitwao Hossana kwa mwenye nao naomba aniwekee hapa nikiusikia redion huqa unanibariki sana lakini nimetafuta ulbum zake madukani...
MSICHANA mwenyewe nilikuwa simfahamu. Tulikutana tu kwenye harusi ya rafiki yangu, akaniambia ananifahamu.
Msichana alikwenda mbali zaidi, akaniambia niliwahi kuwa mpenzi wake kisha nikamtoroka...
Una sifa zote za kuwa mtangazaji na nakukubali sana ila umezidi Kumpenda mno Koffi Olomide. Sikutalii kwamba Koffi yupo vizuri ila sidhani kama kweli amefikia uwezo wa Kuwazidi Wapinzani wake...
Kwa wale wasomjua/wanomjua John Wick mwigizaji maarufu wa muvi kutoka marekani kwa sasa yupo Jiji la kitalii, Geneva of Africa( according to Bill Clinton) Arusha, Tanzania.
Na kesho anaelekea...
#ETrending Kundi la muziki la @navykenzoofficial likiwa kwenye maandalizi ya kuachia kazi mpya hivi karibuni. Habari za chini ya carpet ni kuwa kundi hilo la muziki limesitisha kufanya kazi na...
Baada ya 24 Legacy kuwa cancelled, wadau wakawa wanaitupia macho PB ambayo tangu kutoka kwa Season 5, hapakuwa na taarifa yoyote ikiwa pangekuwa na Season 6 au ingekuwa cancelled. Kwa muda mrefu...
Wakuu bila shaka mu wazima wa afya
Leo nataka muwajue kundi LA westlife na record kubwa waliyonayo kwenye muziki.
Westlife ni kundi LA muziki wa pop vocal kutoka Ireland liliundwa huko sligo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.