Huu ni wimbo ambao Marehemu LANGA aliifanya kipindi cha mwisho wa uhai wake
Lakini haikuweza kutoka rasmi kwa mara ya kwanza niliusikia siku ya msiba wake pale kwao mikocheni
Leo kwa mara...
RIWAYA YA CONNECTION
Mtunzi: Robert Heriel
Mwaka 2024
Riwaya; CONNECTION
Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi:
Facebook: Robert Heriel Tz
Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli...
PHILIBERT KABAGO
"Philibert kabago ni msanii wa kizazi kipya ambae masikani ama chimbuko lake ni kutokea jiji Mwanza, na ni sehemu ya Group members waliounda Crew ya " Boys with Voice" Crew ya...
Kama una muda na wewe ni mdau wa movie au series tazama hii series ya From ambayo kwasasa tupo Season 3.
Ni moja ya tambala kali sana. Watu mbalimbali kwa nyakati tofauti wakiwa na magari yao...
Mmemsikia King Kong lakini?
Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio...
Niliuliza swali humu JF,
Kwanini huyu msanii wetu mkubwa anaimba sana nyimbo za kuhamasisha ngono tena kinyume na maumbile. kwa wakati ule sikupata jibu, sasa jibu limepatikana, ila ninacho msii...
Baada Agosti 27, 2024 mahakama kutoa hukumu ya kesi tukio kuuawa kwa Milembe Maunga, na watuhumiwa watatu kukutwa na hatia, wakihukumiwa kunyongwa, kwa sasa napata fursa ya kulielezea tukio hilo...
Msanii Ashanti
Anaitwa Ashanti Sheqouiya Hayles maarufu kama "Ashanti" mwanamuziki mkongwe wa RnB kutoka nchini Marekani. Moja kati ya wanamuziki walioacha alama ya dhahabu katika muziki wa...
https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01
Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand.
Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts...
RIWAYA: DHAHAMA
SURA YA KWANZA
Hali ya simanzi ilikuwa imetawala katika eneo zima la kasri la kupendeza la kifalme katika himaya ya Majichungu inayopatikana katika bahari ya...
Hii ni habari njema kwa Music Industry yetu kwani baada ya mwaka jana (21 October 2023) tuzo hizi kufanyika BK Arena huko Kigali, Rwanda, sasa ni zamu yetu.
Tuzo za Muziki zinazoandaliwa na Trace...
Habari za Sasa hivi wakuu?
Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.
ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu...
Wakuu kwema? Hope muwazima wa Afya.
Wakuu nimetafuta hizi nyimbo bila mafanikio mwenye nazo plz naomba apandishe hapa plz,plz.
1. Nisamehe ya Jay Moe&Ngwea& Bamboo.
2. Ngwea Mida mibovu ft...
MTANGAZAJI "DJARO ARUNGU WA TBC FM .
Watangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) D’jaro Arungu @djaroarungu (Baba Mzazi) na Abdul Khalifa @seankhalifatz wameshinda Tuzo za The MVAAWARDS...
Kizazi cha kuanzia kwa Mkapa chukueni hii
MAKUNDI YA BONGO FREVA ENZI HIZO:
1. BDP (BIG DOG POSE) - Majobless
2. BORN CREW - Heshima ya ndoa
3. BOYZ FROM THE ARMY - Siku za hukumu
4. BWV (Boys...
Nafasi niliyoacha hapo juu ni salaam,
Kifupi mpangilio wa tukio ni mbovu kupita kiasi, Ma Mc nao ndo wameharibu kabisa shughuli yenyewe!
Kifupi hakukuwa na maandalizi kabla ya tukio au labda...
Vipi hii historia unaikumbuka.
GCB KUNDI LA MUZIKI TOKA MKOANI SONGEA.
________________________
GCB ni moja Kati ya makundi ya mwanzo kabisa Nchini Tanzania kufanya Muziki kutokea mkoani...