WEMA SEPETU NA KAJALA MASANJA WAGEUKA "PAKA NA CHUI "....ZILE MILIONI 13 ZALETA BALAA ZITO
Utabiri wa wengi kuwa ushosti wa waigizaji masistaduu wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Kajala...
Habari Wana Jamii F..katika miaka ya 200+kuna wimbo nilikua nauona sana TBC enzi ile nadhani ilishabadili jina kaimba kama Mchina flani hivi ulihusu maswala ya VVU yani alipendwa huku ana vvu ni...
MAREHEMU COMPLEX
_________________
"Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka...
MICHAEL JACKSON - "TRILLER"
Mwigizaji na mwanamitindo Ola Ray aliyetokea kwenye Video ya 'Thriller' ya Michael Jackson inadaiwa kuwa alilipwa kiasi cha pesa $2,500 sawa na Tsh Milion 6.8 wakati...
RAISI WA MANZESE MADEE.
Hamad Ally a.k.a madee msanii wa Bongo fleva , moja kati ya wasanii wa Bongo fleva waliokuwa wanaunda kundi la Muziki linaitwa " Tip top connection" , kundi la muziki...
Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua...
"Ni kweli nimefilisika lakini sikosi pesa ya kula, nimefilisika zaidi kwenye muziki na hii inatokana na watu walivyoubadilisha muziki. Tofauti na taarifa zinazosambaa huko mitaani kwamba nakosa...
KARATA DUME - AFANDE SELE
Alichoimba kwenye Karata Dume kilitimia !! Baada ya mtoto wa afande sele mwana Dada " Tunda" kubukua mitihani kidato cha 6 mwaka 2019, Afande Sele msanii mkongwe wa...
LORD EYES.
Verse ya Msanii lord eyes kutoka kwenye Crew ya "Weusi kampuni" Enzi hizo akiwa bado ni member wa Crew ya " Nako 2 nako " kwenye ngoma ya Hawatuwezi, ni moja kati ya Verse bora za muda...
Hapa nimechill having a drink,im 31 years old. Hapa naangalia nyimbo ya prof. Jay nikusaidiaeje mixer ferooz na video yao imetengenezwa sijui na nani.
I’m heartbroken ila this song today i...
SITOSAHAU UTAMU WA MUME WA DADA
SEHEMU YA KWANZA
Fatuma anaamua kumtembelea yake aitwaye Amina ambaye anaishi Dar es Sallam.Amina mume wake ni muajiriwa wa serikali wana maisha mazuri na mume...
HIVI wataalamu. Wa tasnia ya muziki hii imekaaje kijana wetu RAYVANY (vany boy) ameshinda TUZO ya nyimbo Bora ya mwaka ya singeli inamaana Rayvany NI bora kuliko hawa wasinii weetu waliojikita...
Nikipewa nafasi nitaje wanamuziki wangu bora kwenye muziki wa Country basi sitoweza kumuacha John Denver na nyimbo zake bora za “Take Me Home, Country Roads,” pamoja na “Thank God I’m a Country...
1. PAUL CLEMENT-AMEFANYA MUNGU
2. UFUNUO CHOIR-USISAHAU KUMSHUKURU
3. HYMNOS-MAJINA YOTE MAZURI NI YAKO
4. ISRAEL MBONYI-SIKILIZA
5. REHEMA SIMFUKWE-NDIO
6. ANGEL BERNAD-UNIKUMBUSHE WEMA WAKO...
Umewahi kununua kahaba? Kama jibu ndio basi kuna uwezekano umewahi kufanya mapenzi na wanyama kama mbwa au fisi bila ya wewe kujua! Unashangaaa? Usishangae na wala usibishe. Dunia inamambo ya...
1. TELL NO ONE.
Ni miaka nane sasa imepita tangu dokta Alex alipompoteza mkewe, bi. Margot, kwa kuuawa kifo cha kikatili na kisha mwili wake ukatupwa karibu na makazi yao.
Kwa kipindi chote...
SEHEMU YA KWANZA 1.
(Mimi sio mwandishi mzuri mtaniwia radhi)
Wazazi wangu siwezi kuwaita Masikini ila ni wazazi wenye kipato cha chini. Shughuli zao mpaka Leo ni kilimo na ufugaji wa kawaida...
Nyimbo kuwa na numbers kubwa kwenye majukwaa ya kidigitali means imepewa green light na wasikilizaji yaani imepita (listeners choice).
Kama ilivyo kuwa mtiti kumiliki pesa bilioni moja basi...
Nimeangalia utoaji wa Tuzo hizo, nilichobaini ni kwamba hazikuwa Tuzo kama tunavyoaminishwa, kiukweli ile ilikuwa sherehe ya Get Together ili Marafiki wapongezane
Wala haijulikani hata vigezo...