Mungu ww ni Mungu, kazi yako haina makosa, katika adhabu kubwa kabisa uliyompa binadamu ni KIFO.. Bwana umetoa, na Bwana umetwaa, jina la bwana libarikiwe..!! 😭😭😭
```Coastal union mmetuwakilisha vema mkoa wa Tanga
1. Tanga
2. Muheza
3. Mkinga
4. Korogwe
5. Pangani
6. Handeni
7. Kilindi
8. Lushoto
Yaani Simba nyie kila Wilaya na goli lakee
Kwa kweli huyu kijana sijawahi kumkubali kabla. Ila sasa rasmi nimekuwa fan wake wa kudumu. Natumai sijachelewa. Hii nyimbo mpya ya INAMA (feat Fally Ipupa) ni kiboko. Waliohisi huyu mtoto...
Tumepoteza mwanamziki mwibgine aliekuwa nguli enzi zake, Beresa Kakere, aliyeimba nyimbo kama
Asiya (na Bima) - Asiya eeh Asiyaa, Asiyaaa, Asiyaa mwanakwetu mama Asiyaa, kitendo ulofanya si cha...
nimeona nichukue fursa hii kuuliza huyu mwenzetu yuko wapi? je walifungiwa au vipi? Je kamdhulumu mtu humu? tushamtafuta kila kona haonekani vipi? Manakijiji mara ya mwisho wewe ulikuwa na mvutano...
Habari wadau wa hili jukwaa..
Mwenye hii movie ya into the Badlands season 3 msaada tafadhali. Au Kama Kuna mtu anajua access yeyote ya kuipata itakuwa poa sana
Rejea kichwa cha habari...kama una MUVI kali za kuanzia mwaka 2018 mwezi wa sita(June ) hadi mwaka huu 2019 mwezi huu nahitaji kwa haraka.
Unaniwekea kwenye flash ..nahitaji nyingi ..tutaelewana...
Hii movie nilikuaga naiskia tu kuwa kali ila sikuwahi kuicheki...
jioni hii baada ya kuwa
dissapointed na muendelezo wa into the badlands nikaona ngoja niisake hii private ryan...
Daah ni noma...
Weekend sasa ni muda wa kupunguza stress taja kiwanja kikali wana Jf wa kujoin!
Nianze na mimi next door music na totoz naweka shida chini!
Taja na wewe ulipo karibuni jf
By the way ukitaka uone Episode 03 Zima taa na angalia gizani unless otherwise utaona reflection yako, The Long Night was Sooo Dark utafikiri wanatumia Camera za Kwenye Tecno.... !!!!!
Hii show...
Watanzania wenzangu naombeni ushauri wenu, hapa nilipo nimevurugwa vibaya sana kwa sasa kila ninalojaribu kufanya kwangu naliona kama halina tija tena kwangu. Hali hii imenijia baada ya kugundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.