Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Sehemu ya 1. Naitwa Rojaz na nimezaliwa kwa wazazi ambao baba na mama matamanio yao ni kuona watoto wao tunasoma kwa bidii ili kuweza kufikia malengo yetu na ndoto ambazo wao kama wazazi...
43 Reactions
601 Replies
96K Views
Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina...
1 Reactions
3 Replies
450 Views
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Sababu ziko tofauti.. Mimi 1. Far cry 6 Hili rasmi nmelifuta leo, sikulimaliza bt sikulipenda nahisi game play yake halivutii kabisa. Gb 100 2. Dying light 2; stay human graphics nzuri ni third...
5 Reactions
64 Replies
1K Views
Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema https://youtu.be/nJd2S1yiYpU?si=mir2izshdjgKhTnE
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Mpendwa msomaji. Kama ulisoma mkasa[emoji116] (Nilivyo Okoa Maisha Ya Watalii toka Finland). Huu ni mkasa kamili wa kisa kile. Nilielezea visa vichache kwa ufupi, lengo lilikuw kuonyesha msaada...
34 Reactions
3K Replies
246K Views
Binafsi hadi kufikia sasa, naweza kusema Movies mbili kali (Top 2) kuwahi kuona mpaka sasa ni: • No Escape, movie inayoonesha ukatili uliokuwa ukifanywa na Waarabu dhidi ya Wazungu. Wazungu wengi...
10 Reactions
85 Replies
7K Views
Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI. Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs) 1.Mungu ni Pendo 2.Usinipite Mwokozi...
51 Reactions
153 Replies
11K Views
Habari wakuu.. Naomba msaada wa movie nzuri zenye maudhui ya kiristo ambazo ni inspirational ambazo zinaweza kumjenga mtu kiimani akiziangalia, zenye mafundisho, zisizo na scenes au picha chafu(za...
1 Reactions
20 Replies
912 Views
Riwaya: NIRUDISHIENI MWILI WANGU Mwandishi: GILBERT EVARIST MUSHI Phone: +255765824715 UTANGULIZI Nilikuwa nikijitahidi kuchochea pedali katika baiskeli yangu ili baiskeli ikimbie zaidi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama. Mimi naanza na hizi 1. Breaking bad 2. Game of Thrones 3. 24
26 Reactions
715 Replies
67K Views
Baada ya kushindikana kwenye shule moja ya jeshi iliyo mkoani. Brother akanipa second chance nikahamia shule moja binafsi mjini Dar. Nililazimika kurudia form 3 maana mwaka uliopita nilisoma miezi...
10 Reactions
54 Replies
12K Views
Mimi nimekuwa mpenzi na muumini mkubwa wa nyimbo za trance na electronic karibuni tushee vitu mbali mbali juu ya mziki huu mzuri
1 Reactions
12 Replies
315 Views
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia? Seriously!!! A guy who talks about shooting other people and utter a lot of...
6 Reactions
164 Replies
7K Views
Simulizi : SALAMU KUTOKA KUZIMU Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 KIFO kaja duniani kwa kazi moja tu. Akikukuta umekwisha... Akikusalimia umekwisha... Hana...
6 Reactions
208 Replies
34K Views
Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar. Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo...
4 Reactions
51 Replies
1K Views
Toka enzi za kale muziki ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo kwa wingi wa nyimbo zilizokuwepo duniani ilibidi kusiwe na melody tena but fun facts nyimbo zinaendelea kutoka zenye melody kali aina...
3 Reactions
7 Replies
270 Views
Hadithi hii nikiikumbuka natokwa na machozi, hadithi ya kweli ilitokea huko mkoani Tanga. Wakati nikiwa mdogo mwanzoni mwa miaka ya tisini, nilikuwa nikiishi kwa wazazi wangu waliokuwa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Naona baada ya mafanikio makubwa ya Season 1, wanarudi tena. Dec 26 ndio episode 1 itaanza na kutakua na jumla ya episode 10. BTW ni miaka mitatu tokea Season 1 itoke. Tunazeeka aisee.
2 Reactions
6 Replies
305 Views
Romeo must die na paris has fallen season 2.
5 Reactions
19 Replies
444 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…