Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Yaani kuna muda nikipitia nyimbo zake za zamani kama stimu zimelipiwa huwa naona kama watu wawili tofauti. [emoji2398]troublemaker 2019. all right reserved.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna huyu kijana anaitwa "YOUNG KILLER" Nyimbo zake na mistari yake huwa naikubali sana. Kama pale aliposema Unaogopa nini toba, We binti wacha uoga, Ona unaguu la bia, halafu nguvu ni za soda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii riwaya nmeisoma mda c mrefu na jina limenitoka ila ni kisa cha mdada jack na mumewe caros wakitaka kuiba benk naiomba hii mwenye nayo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Wakuu kiukweli nimesikiliza bongo fleva nyingi sana ni kama zote.... Kuna nyimbo kali sana zimewahi kutokea/kuimbwa na wasanii wa hapa Nyumbani. Ila kwa upande wangu hakuna wimbo unaoweza...
7 Reactions
105 Replies
21K Views
Kwa Dunia ukizungumza ulimwengu wa mziki wa gospel hillsong united wako juu sna hawana mpinzani katika mziki wa gospel. nyimbo yao mtu yoyote anaskiiza atheists, muslims na Christians nyimbo zao...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
NOTE: Tofautisha Kifungo cha Maisha na Kifungo cha Miaka. Huyu ni Mwanamke Kutoka Nchini Thailand Anaitwa Chamoy Thipyaso Alihukumiwa Miaka 131,078 Gerezani na Hukumu hiyo Aliipata July 27, 1989...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa Mujibu wa Jarida Maarufu Duniani la Forbes, Hii ndio Hotel ya Kwanza Duniani Kujengwa Chini ya Ardhi.. ina Ghorofa 18, lakini Ghrofa 16 Zote ziko Chini ya Ardhi na Mbili Zilizobaki ziko Chini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Licha ya Kuwa Malkia Elizabeth II ni Mtawala wa Uingereza Lakini pia Ndiye Mtawala wa zaidi ya Nchi 30 Nyingine za 1. Australia. 2. Bahamas 3. Barbados. 4. Belize. 5. Canada. 6. Grenada. 7...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Aliyewahi kutumia vedantu tafadhali tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Inaitwa La Rosey Shule hii ipo Rolle Kaskazini Mashariki mwa Switzerland Ilianzishwa Mwaka1880 na Mwanzikishi ni Paul-Emile Carnal, Ni shule yenye Wanafunzi 420 Kwasasa na Walimu Karibia 200...
10 Reactions
30 Replies
13K Views
HAKUNA watoto wa mitaani/ kwa mtaa ukimuona mtoto tambua Ni mtoto wa jirani/ hata akiokota makopo jalalani/ kumbuka changamoto maisha Ni msoto bila Imani/ HAKUNA siku bila mwanga/ usiku bila...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ushindi wa Taifa Stars ni matokeo ya matumizi bora ya fedha pale TFF na vilabuni. Wenye akili wameshtuka kuwa bila matumizi bora ya fedha zilizopo wanaweza kushukiwa na mwewe bila huruma. Matokeo...
1 Reactions
1 Replies
676 Views
Dini Kubwa sana Huko Visiwa vya Fiji ni Ukiristo (70%), Kabla ya Kuja kwa Dini Walikua na Mila Ambapo Chief/ Kiongozi wa Kabila Akifa basi nawe Mke wa Chief Unanyongwa, Mbaya zaidi Aliyetakiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KIJIJI cha Nangose kipo jirani na mji wa Masasi njiani kuelekea kijijini kuna mimea mingi sana iitwayo mianzi ambayo watu huikata kwa matumizi mbalimbali kama vile kujengea nyumba, kutengenezea...
3 Reactions
16 Replies
15K Views
Huwa napenda kusikiliza watu wazima from time to time ili kupata picha time yao walikuwa wanafikiria nini. Juzi ilikuwa zamu ya Babu KRS One. Kwenye album yake 'I Got Next' ana track inaitwa 'A...
20 Reactions
265 Replies
41K Views
Kwa Mujibu wa Mtandao wa africanglobe.net Adhabu hiyo Iliwahi Kutekelezwa Mara Kadhaa Nchini humo ikiwemo Mwezi May 2013 Kwa Vijana Wa3 Kutundikwa Msalabani na Kuteswa Hadharani Hadi Kufa Baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Majina yake Kamili anaitwa Bathsheba Spooner Mmarekani Aliyezaliwa February 15, 1746 Huko Massachusetts Nchini Marekani na Kufariki Dunia July 02, 1778 Kwa kunyongwa Akiwa na Umri wa Miaka 32...
1 Reactions
1 Replies
945 Views
Anaitwa John Francis, Watu Humwita Pia 'The Planet Walker' Kutokana na Uwezo wake wa Kutembea Kwa Mguu Kwani Amewahi Tembea Kwa Miguu Kuzunguka Sehemu Mbalimbali kwa Miaka 22. Aliwahi Kukaa Kimya...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Huu ni Msitu wa Down hill, Unajulikana zaidi kwa Jina la 'The haunted Dow Hill of Kurseong' Uliopo Huko Darjeeling KM 30 Magharibi mwa Mji wa Bengal Katikati mwa India, Ndani ya Msitu huu kuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom