1. Fergie ft Ludacris - Glamorous
2. Akon ft Colby O Donis- Beautiful
3. Bruno Mars- Just the way you are
4. John Legend- All of me
5. Passenger- Let her go
6. T.I ft Keri Hilson
7...
RIWAYA;MAMA WA KAMBO.
MTUNZI;RAJA SAIDY
WHATSAPP;0756920739
SMS;0621047841.
UTANGULIZI
Katika siku hizi watu wengi uwalaumu mama wa kambo kwa sababu za kimsingi,ikiwemo na kuwanyanyasa wanao...
Wakuu,
Nimeona niwaletee mchezo uliotamba sana kwenye runinga zetu mwishoni mwa miaka ya 90 uitwao Tausi.
Ni ule wa akina Mzee Kasry, Sitti, Mjuba, Kalumanzira, Tina, Lindi, Vita, Joto, Rukia...
Eneo hili lipo Katika Mji wa Mapimi Kaskazini Kati Mwa Mexico, Linaitwa 'Zone of Silence" Yaani Eneo la Ukimya.
Eneo hili Linatajwa Kufanana na Eneo la Bahari la Maajabu la Bermuda Triangle...
Mamba huyu (Gustave) Anapatikana Katika Mto Ruzizi Unaounganisha Nchi Tatu za DRC, Rwanda na Brundi Kaskazini mwa Ziwa Tanganyika, Ametajwa Kuuwa Zaidi ya Watu 300 Wanaokatiza Katika Mto huo Mpaka...
Leo hii nimepigiwa simu asubuhi na mazungumzo yalikuwa kama hivi:
0688564622: Hello Habari
Mimi: Nzuri, Habari ya kwako
0688564622: Mimi ni wakala wa Vodacom Mpesa hapa dar es Salaam
Mimi: Ok...
Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni
Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
CHRIS hakuweza kuvumilia zaidi, akatembea kwa haraka akitetemeka miguu. Alipowafikia akasimama na kuwaangalia kwa kuwakazia macho. Si Davis wala Pamela walioshtuka.
Ni kama hawakuona chochote...
HADITHI: Surprise ya Aibu
SEHEMU: 01
MTUNZI: DR AMBE
SIMU: 0713646500
Mazoea kwa kweli ni ugonjwa pamoja na kuwa na kila kitu katika maisha yangu hakuna nilicho kikosa. Nilikuwa na...
aisee nipo hapa taiwan hotel igoma mwanza pametulia saaana.....!!!!! sio poaaaa kuna vybe kama looooote hiki kiwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakutana na wimbo umepambwa kwa bonge la biti linalochezeka harusini lakini maneno yaliyomo ni ya kidunia zaidi. Kanachomoza ka-neno YESU, MUNGU hapa na pale tu. Mwenzenu nashindwaga kuelewa hii...
Hii ni Hoteli iliyo na Vyumba vya Kulala Ndani ya Maji Zaidi ya Futi 30 Chini katika Bahari ya Hindi - Zanzibar, Tanzania na Inaitwa "Manta Resort" na Imetajwa kama Moja ya Hoteli Bora Duniani...
Ule mzgo tuliokua tukiusubr kitambo sana..hatimae leo upo yts
Pakua hapa mapemaaa
Triple Threat (2019) YIFY - Download Movie TORRENT - YTS
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mwaka 2007 Katika Kuelekea Siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Nchi ya Malaysia August 31, Siku ya Nyuma Yake August 30, 2007 Kijana Mmoja 'Rathakrishnan Velu' Alivunja Rekodi ya Dunia Kwa Kuvuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.