Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
JF Members naomba kwa anayefahamu filamu za kijasusi (undercover movies) anitajie ili niweze kuzitafuta, ni mpenzi sana wa hizi filamu
1 Reactions
80 Replies
19K Views
Unaemuona Pichani Hapo chini ndiye Richard I Aliyekuwa Mfalme wa Uingereza Kati ya Mwaka 1189 - 1199, Inaelezwa Kwamba Alikua na Chembechembe za Ushoga! (Bila Shaka Sura yake Hapo Juu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Basi la shetani: SEHEMU YA-01 Ulikua usiku wa kiza kinene katika jiji la Dar es salam, kutokana na uchache wa magari barabarani basi yale machache yaliendeshwa kwa kasi. “Tumuache hapa hapa”...
9 Reactions
139 Replies
27K Views
NISAMEHE GRACE-01 Anza nayo.. “Grace Sebastian ni msichana aliyetokea kunipenda sana tokea siku ya kwanza nilipoonana nae chuoni kila mara nilipokua nikikutana nae hakuchoka kunitamkia wazi...
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Baby I know the story I've seen the picture It's written all over your face Tell me, what's the secret That you've been hiding And who's gonna take my place I should've seen it comin' I should've...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni hivi, kama wanamuziki wa wasafi wanapitia humu naomba wabadilike kama wanataka kuendelea kushindana katika nyanja za muziki. Hawa jamaa wamekuwa wakijaribu kuimba live katika show zao za hivi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mdada ambaye hajui mapenzi Ili nifundishane nae sabb hata mie sijui Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Ni website gani naweza kupakua album za wasanii mbalimbali *free download Lakin Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
601 Views
Ziwa Hili lipo Kusini Magharibi Mwa Jamhuri ya Dominica KM.10.5 Nje Kidogo ya Mji wa Roseau.. Lipo Ndani ya Hifadhi ya 'Morne Trois Pitons National Park'. Ziwa Hili Lipo Tangu Miaka ya 1800 na...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Iko wpi ile kampuni ya Marcon Kits ambayo inasemakana iliingia mkataba na Yanga wa kutengeneza vifaa vya michezo kwa thamani ya milioni 932 kwa mwaka? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Wale wapenzi wa GOT the waiting is over, Bado siku saba tu Jon snow atakufa kwa mara ya pili na yamwisho Nini matarajio yako?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI. SIMU: 0718 069 269. MAHALI: DAR ES SALAAM KAHABA KUTOKA CHINA 1 ‘Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani nawauliza mashabiki wa Dimond kituo chake cha TV kimeishia wapi maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu kinanidanganya.
3 Reactions
61 Replies
9K Views
Picha inaongea maneno mengi. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Ningependa kukiri kuwa mimi ni shangiliaji wa timu ya Yanga japo mpira kidogo umenipitia pembeni. Ila kwa haya mashindano ya kombe la Afrika na hatua waliyofikia Simba, nimeamua kuwa upande wa...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Huyu mwanadada ni moto wa kuotea mbali sanaaa, kaimba wimbo mgumu sana! CC: GreenCity , titimunda
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Msada kwenye tuta matokeo ya Simba mwenye nayo pls Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Nisaidieni ule wimbo ameimba bidada Jolie na wenzake (siyo studio version) nataka audio yenyewe official kabisa! Napitia magumu mpaka nimeukumbuka huo wimbo! "Nimekubali matokeo, Jana yangu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Napenda tuchangie tuone wapi muziki wetu unakwama hasa katika Live show. Na hapa siongelei kikundi kimoja ni kwa ujumla. WCB ni katika label iko juu hapa Tz na ni kama kiongozi wa mzuki wetu na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom