Mwana FA ft G Nako - Mfalme lyrics
[Mwana FA]
Look around brother
Choir Master!
Ghetto Gospel (Yes!)
Keeping the good music alive!
[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa...
NYEMO CHILONGANI.
BIASHARA YA KIFO.
0718069269.
Sehemu ya Kwanza.
Mvua kubwa ilikuwa ikinyesha, mitaro midogo ikaanza kujaa maji huku baridi likianza kupiga kwa nguvu ndani ya jiji la Dar es...
Nikki mbishi A.k.a Unju Huyu Jamaa nimeanza kusikiliza nyimbo zake long sana is very wise rapper na ile clue yao ya tamaduni muziki hawa majamaa wanajua
Nimefuatilia interview aliyofanyiwa na...
Ngoma zote zinazungumzia Mapenzi
Kwa wale wahenga na kuanzia 2010 kirudi nyuma kabla ya ujinga wa team haujaingia
ngoma gani ni kali kati ya hizi?
cc KIOO kama unazo hebu tusaidie kuziattach...
Wiki tatu zilizopita niliamua kumuacha mpenzi wangu wa muda mrefu , kutokana na vipigo vya Mara kwa Mara na usaliti nimeamua kumuacha mwenyewe tatizo naumia sana moyo umeanza kumkumbuka Ila mwili...
Hello wana JF ..
kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa
Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai
Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai...
Jamani kwa wale wapenzi wa pop music na Rock wa zamani kidogo mtakua mnaikumbuka ile bendi ya vijana kutoka northern Ireland. Wametoa ngoma mpya kwa kushirikiana na ed sheeran jnaitwa Better man...
NDOA YANGU (01)
‘Chozi langu litalipwa’
By; KING T CONTROL
Nilipokuwa mdogo kipindi bado nasoma, nakumbuka maneno aliyokuwa anapenda kunambia marehemu baba. Maneno ambayo awali niliyachukulia...
Kwa yeyote alieko Dar naomba anisaidie hii series ya INTO THE BADLANDS kuanzia season 1 maana naona inaongelewa kila mahala na mimi ndo sijaiona
Sent using Jamii Forums mobile app
SANAMU YA SOPANGA COMPLETE SERIES HAPAAA, HII NI NOMA SANA, FULL MAPENZI NA VISA UCHAWI SANAMU YA SOPANGA episode 1 SANAMU YA SOPANGA episode 2 SANAMU YA SOPANGA episode 3 SANAMU YA...
Wale wapenzi wa filamu za kitapeli/wizi, akili mingi/ masterplanners tudiscuss ni filamu zipi unaona watu walitumia akili sana kufanikisha jambo lao!. Kwangu mimi hizi filamu huwa nabaki kuwaza...
Habari wakuu..
Naomba kuuliza.. kama kuna mtu anayejua..habari za muigizaji wa Naigeria Ramsey Noah....
Bado yupo hai au alifariki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtunzi Ally Katalambula
Sehemu ya 1
“MWANAUME kutokwa na machozi, iwe kwa sababu ya maumivu au majonzi, si kitu kinachokubalika katika ukoo na kabila letu.
Ukiona mwanaume analia ujue ana roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.