Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habarin wana jf Nimeanzisha hi threed kwa lengo la kusaidiana kupata magem makali pamoja na trick mbalimbali za magem ikiwa ni pamoja na kuhack coin na vingine vingi.... Naombeni tuchangie jamani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa mwenye registration code ya resident evil 6 naomba
0 Reactions
0 Replies
474 Views
HADITHI: MALAIKA MWEUSI SEHEMU: 01 MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’ SIMU: 0713 646500 MALAIKA MWEUSI. Alikuwa amepiga goti pembeni ya mwili wa mama yake ambaye...
5 Reactions
32 Replies
12K Views
Wakuu mara nyingi nimrkuwa nikienda high sprit lounge pale posta ila leo nataka nibadilishe..wapi niende? Samahani kwa muandiko mbaya nipo kwa daladala mkono mmoja nimeshika bomba[emoji23]
1 Reactions
41 Replies
3K Views
*SIMULIZI YA MAISHA: ZAWADI YA ADHABU* *MTUNZI: TIMOTHY PETER MSUYA “KIRAKA”* *Mawasiliano +255 763 305 605* *Utangulizi* [Kisha nikarudi tena, na kuona ubatili chini ya jua. Kuna mtu aliye...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
***SORY MADAM*******(1). AGE………………………………….18+ WRITER……………………………EDDAZARIA G.MSULWA Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo...
2 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari ,,mie ni kijana mwenye kipaji,,Natafuta mtu wa kuniongoza na kukiona kipaji changu ili aweze kunipa sapoti,,kwa mwenye wito Aje DM
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Mtunzi Nyemo Chilongani sehemu ya 01 Gari aina ya Lamborghini Centenario LP 770 nyekundu yenye thamani ya zaidi ya dola laki tano ambazo zilikuwa ni zaidi ya bilioni moja lilisimama nje ya...
14 Reactions
923 Replies
79K Views
Chris Brown ft Nicki Minaj, G-Eazy_-_Wobble Up (Music Video)
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Nishajizolea kule jiji mpya teule nikitaka muziki muzuri basi najua niingie kiwanja gani sasa kwa hapa dar wapi nitapata burudani kwa madj wazuri coz sitaki bendi niselebuke mpaka niombe sicksheet...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Kiwanda cha Sukari Kagera Sugar cha mkoani Kagera kimetoa ofa kwa mashabiki wa Simba Sc a.k.a mikia na wapenzi wa soka kutoa ofa ya kiroba kimoja cha sukari lakini kwa sharti la kuagiza kupitia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PENZI LENYE MAUMIVU-01 Mtunzi:Juma Hiza 0712988278 Katika maisha yangu yote ya ndoa sikuwa ni miongoni kati ya wale wanaume waliyotulia. Licha ya kuwa mke wangu, Lillian alinionyesha mapenzi ya...
8 Reactions
65 Replies
14K Views
Nyimbo ya kwanza ni dotinata,ambayo papi kocha ameshiriki vema na nyingine jina siijui ila ila mashairi yanayosema unionyeshe nani anagawa pesa nimfuate nami nipunguze shida saidia omba omba,kama...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Hi ni kwa ajili ya kuomba nyimbo ambazo hazipatikani katika mitandao kwa sasa. Omba wimbo ambao unautamani sani ila huwezi kuupata, uweke hapa wadau watatusaidia kuupata. Na yeyote ambaye ana...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba kujua, nimelipia 8800 kwenye iflix ambayo ni gharama ya kujiunga kwa mwezi, sasa cha ajabu kila nikiingia data zangu za kawaida zinaisha, kwa anaejua anisaidie, Sent using...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Jina Lake Kamili Anaitwa Robert William Pickton, Anafahamika kwa Majina Maarufu ya "The Pig Farmer Killer", "The Pigheaded Killer" au "Pork Chop Rob" na Hii ilitokana na Umaarufu wake wa Kuwauwa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
NYEMO CHILONGANI. UTAJIRI WENYE UCHUNGU. Sehemu ya Kwanza. “All people who live at the beach have to leave immediately because tsunami will come. Once you hear this announcement, tell your...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
HADITHI: ... RAHA YENYE MAUMIVU SEHEMU: 01 MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’ SIMU: 0713 646500. RAHA YENYE...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
HADITHI: Sundi MTUNZI: Ally Mbetu SEHEMU: 01 SUNDI Ndoa ni jumba lililo na pande mbili yaani nje na ndani.Aliye nje anatamani...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Niwekee wimbo wako unaoona ungeweza kumwimbia mpenzi wako wa kwanza kabisa ili kuonyesha mapenzi yako - yaani ile full fallen in Love. Mimi nimechagua huu hapa - unaweza kuimba pia maana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom