Wanabodi,
Tangu kuanza kwa muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania maarufu kama Bongo Fleva, kumekuwa na wasanii wengi ambao baadhi yao wamekuja wakatoa nyimbo kali wakapotea kwenye game na wengine...
Lyrics
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.
Tanzania...
Alien ni nani?
Alien ni Mgeni wa anga (Alien / Extraterrestrial)
Mgeni asiye wa dunia hii, au mgeni wa anga ya nje, ni kiumbe ambacho hakitoki Ardhi. Bunilizi ya kisayansi mara nyingi huwachora...
Kanisa lilibaki na mshtuko mkubwa waumini nao hawakuamini tukio waliloliona mbele ya macho yao. Padri alibaki akiwa amezubaa hakujua nini kinaendelea kanisani hapo pindi Laurance alipo kataa...
UTANGULIZI:
Ni jumapili ya tarehe 14/03/2010,Mida ya saa 10 jioni vinasikika vilio vya uchungu ndani ya nyumba kuukuu iliyopo maeneo ya uswahilini kata ya Mpambano wilayani Majita.Ni kilio hiki...
Habari,
Kama unapenda kusoma hadithi tafadhari click link hii Sehemu Ya Kwanza | Trust
Niku add kwenye group tuanze kusoma hadithi nitakayo anza kuirusha kila siku.
Sent using Jamii Forums...
Pamoja kua sikupenda simba ishinde ila nilibadirisha mawazo haraka baada ya yanga kufungwa na wanapaluhengo na walichokipata As Vita uo ni mshahara wa unafiki uliofanya zahera na kwa hari hii...
Hii iko kwa wanaume wote au ni Mimi tu?
Yaani mm ni mchepukaji ila wa kutumia akili, siketi ikipita lazima macho yasindikize.
Sasa mke wangu hata nikikuta meseji ya mjamaaa hata wanaofanya nae...
Je, wewe una umri wa miaka 18 na kuendelea na unaweza kuandika mashairi ya muziki pamoja na kuimba/ku-rap na unatamani kupata nafasi ya kurekodi nyimbo ila unashindwa kwa sababu ya kukosa fedha...
Je? Nani aliwapa hizo mask?
Je? Hizo mask zimaweza kuimili sumu au kemikali Kali kabisa?
Je? Kama ni kuogopa chemikali ya kupunguza nguvu mbona wengine wameziba midomo tu?
Wameleta ubishoo ndo...
Mtunzi Juma hiza Sehemu ya 01
Hali ya hewa ilikuwa shwari katika jiji la Daresalaam. Ndani ya chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kilichokuwepo maeneo ya Posta mtaa wa Shaaban Robert, msichana mrembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.