Mnyama jana kaonesha unyama wake, kadhihirisha kuwa yeye sio mzee,
Zidane ili arudishe makali ya Real basi hana budi kumrudisha huyu mnyama kwa gharama yoyote ile, pengo la mnyama ni kubwa mnoooo...
HAPO kale palikuwapo na dola kubwa. Mfalme wa dola hiyo, alikuwa na mguu moja na jicho moja. Siku moja mfalme akizungukia makumbusho yaliyomo ndani ya kasri la kifalme, alikutana na michoro ya...
Ndugu madereva kunawakati tunaweza sema ajali ni uchakavu wa chombo au ubovu wa bara babar ila kuna wakati lazima tujuwe sisi ndochanzo tujithamini na kujionea huruma mana mtu anaendesha bila...
Nimejikuta nakosa usingizi mchepuko anakoroma naamua kutafuta earphone najikuta nimefungulia radio mawingu.Kipindi kinaitwa usiku mnene cha kushangaza lafudhi ya watu wanaopiga simu ni moja na ni...
Katika maisha ni piece ndogo sana ya sanaa ambayo huwa inapitia katika nasikio na kuzama ndani kabisa ya moyo na kuyafanya na kuyapa maisha mwanga bora zaidi.
Muziki una nguvu sana pindi...
Mkuje huku Maserati, Tumosa, Money Talk, Tater Evarist Massawe mtu mwembamba koncho77 swahiba92 muya ataho muya Jackal skfull kisukari na wengine jaman mpo wengi mnooo
SEHEMU YA 01-MTUNZI NYEMO...
Kuna watu wanaitwa waswahili, hapa namzungumzia Sadaat na wenzake hawa jamaa walikuwa noma sana katika uandishi sema hawakuwa na bahati albumyao ya Waswahili ilitisha nyimbo kama
Yupi bora kati...
Nilitegemea itakuwa moto wa kuotea mbali zaidi ya kwangaru lakini imekuwa tofauti.
Bora atoe video faster ,nenda YouTube ukapate uhakika.
Ila kwavile ni WCB tutalizimishwa kuzipenda kwa promo...
Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku...
Kwanza wanajamvini niwape pole sana kwa misiba hii mikubwa miwili ya Ruge na Kaka yetu kibonde waliotangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi,
Katika kipindi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.