Kwenye kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa mbili asubuhi.
Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba kwa...
Nimeamua kwa ufupi kwa wapenzi wa muziki wa Congo na haswaa wale wa Werrason au wenye Werrasonique tuje hapa tujikumbushe machache ya nguli huyu ambaye wiki tumepata bahati ya kupatiwa ile adimu...
Mtu kuwa marehemu hakuondoi uchungu kwa wale aliowafanyia mabaya. Na ndo maana baadhi ya mila zina ruhusu mtu kusema kama alikuwa anadaiwa au anamdai marehemu. Na baadae mtu anaweza kusema kama...
Kifo cha Ruge kimenifanya nikajikuta natafakari safari ya muziki wa Tanzania was kizazi kipya, alias Bongo fleva...
Trend ya muziki wa bingo fleva kwa sasa ipo juu. Kwa sasa ni rahisi mwanamuziki...
*SIMULIZI YA DORCAS-01*
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni yatima niliyezaliwa peke yangu kwa wazazi wangu ambao sikubahatika kuwaona, kwa sasa naishi jijini Dar es Salaam...
Habari zenu wanaJF?
Naomba tukumbushane mashairi ya kwenye wimbo wa NZIGE unaoitwa CHUMBA CHA MTIHINI
nawaomba mshushe baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo .
*Verse 1:
Ndani ya chumba...
Ukweli ni kwamba kila kazi na fursa zake, palipo na fursa hapakosi changamoto na kila mtu na mazuri yake na mapungufu yake.
Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya...
Katika muziki wa Hip Hop, Beef huwa haipukiki.. Kutoka na utamaduni wa majigambo juu ya maisha mazuri, gari nzuri, dem mkali, hela za kutosha bank basi conflicts huibukia hapo..
Tunakumbuka 2pac...
Kuna jamaa anaimba gospel ana mix kilugha,kiingereza na kiswahili nadhani ni mzambia au zimbabwean ameimba huwo wimbo wa ni zurii na yesue kama unamjua jina lake naomba hapa ili nizitafute hizo...
Hulkshare.com hello wafu fm-dani and kulw.mp3hey jamani Hii album ni noma,
list ya Wasanii walishiriki ni
Mr II
Mkoloni wa Wagosi wa Kaya.
Danny Msimamo
K wa mapacha
Soggy Doggy
Summa G
and nina...
Kwa walioshuhudia leo utolewaji wa tuzo za #SinemaZetuInternationalFilmFestive2019 lazima wengi wao wameguwaa na kustaajabu namna ambavyo mambo yamekuwa na mshanga mkubwa yaani uliye mzania na...
Nimekua nikisikia jinsi baadhi ya wasanii wa muziki wa bongo fleva ambao wengi hatukatai kama kampuni ya clouds media group na ile ya zamani ya prime time promotion imefanya mengi hususani katika...
School dance
pitch perfect
old school
the part animal
na nyingnezo tukutane tujulshane michongo mipya na ya zaman ilio kwenye chart
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani ndiye aliye mshawishi au kumdanganya Eva kula tunda lililo katazwa na Mungu. Kosa lake la kwanza ni kumjibu: Eva alimjibu, “Mungu kasema tukila au kuyagusa matunda yaliyo katika mti ulio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.