Hii nyimbo ni nzuri sana ni kijana kutoka kigoma kakonko tz..Silvester Faida Ila Jina la kiusanii anatumia JACK-SOLDIER :SINA RAHA huu wimbo nimeupenda haswa nimejaribu kuweka nusu ya kipengele...
MOYO USINIDANGANYE
NO :01
Mara yangu ya kwanza kuja Dar es Salaam, rafiki yangu Obey alinizungusha kariakoo. Zanzibar pamechangamka lakini mji huu ni hatari. Kuna kila aina ya bidhaa, na...
Habarini wana Jamii Forum,samahanini kama ntakuwa nmetumia lugha gongano hapo kwenye kichwa cha huu uzi..,ila naomba nijuzwe maana ya vifupisho vya Video Show..
Yaan Utakuta Kuna Kipindi...
Ngwair - Sikiliza
[Ngwair & JD]
kama ni demu sikiliza, niskize mi
kama una swali uliza, niulize mi
hata kama sijamaliza, ah sikiliza
kama ni demu sikiliza, niskize mi
kama una swali uliza...
Wakuu natafuta kitabu cha masala kulangwa kwa lugha ya kisukuma. Naomba mnielekeza sehemu ninayoweza kukipata. Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
habari wadau,
Mwenye clip ya masimulizi ya hadithi zilizotungwa na George Iron Mosenya kama "usinililie mimi kawasimulia wanao" tafadhali naomba anisaidie
Hiki ndio kikosi nataman kianze kesho kwenye mechi ya kombe la klabu bingwa baran afrika Kati ya Simba na Al ahly. Kwanza napenda kusema kwamba sina lengo la kumpinga kocha au kumpangia majukumu...
Salaaam wakuu.......
Bila Shaka mu wazima na kheriiiii,Kama topic inavyojieleza natafuta wimbo wa tot/komba wa CCM NI ILE ILE mwenye nao au anajua link Tafadhali
Shukrani
Sent using Jamii Forums...
Please mwenye nyimbo hizi za bongo flava naziomba
1. Mtani jirani - Juma Nature
2. Kicheko tu - BDP
3. Kula kona - Manzese Crew
4. Bosi - BWV (from mwanza kirumba)
5. Haki - Mr II Ft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.